Moja wapo ya hotuba bora ya mwalimu Nyerere

Moja wapo ya hotuba bora ya mwalimu Nyerere

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana.

Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.
 
Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana.

Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.View attachment 3075233
🙏🏾
 
Huwezi kuamini Tanzania ilikuwa na Rais anaitwa Nyerere and now ina Samia.

As country tumeshuka sana standards
Sasa hivi walao tuna excuse ila hio 2025 kama itakuwa inavyo semekana ndio tutakuwa wakosefu sana.
 
Back
Top Bottom