Moja wapo ya hotuba bora ya mwalimu Nyerere

Moja wapo ya hotuba bora ya mwalimu Nyerere

Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana.

Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.View attachment 3075233
Aliokuwa anawataka Mwalimu kwa sasa hawatakiwi kabisa !
Wanaitwa wasaliti sio wenzetu !
 
Hiyo statement bila kueleza alifeli katika nini na kwa nini inakosa maana.

It is so banal and general that it is meaningless.
Kiuchumi alifeli vibaya, kisiasa alifanikiwa sana,maana nchi inamuabudu mpaka leo
 
Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana.

Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai mustakabali mwema, sana akipoteza ni huo umaskini na unyonge wake, hii nukuuu inatufaa sana wakati huu.View attachment 3075233
😂😂😂Alitoa madini lkn ndio vile walituibia fikra zetu ndio maana utaona mpk Leo mtu anaweza kubuni kitu baada ya mda ujuzi wake unapotezwa hutosikia tn
 
Nyerere hakuwa na timu iliyokamilika kifedha, kitaaluma na kiteknolojia ya kumtekelezea fikra zake katika vitendo
 
Back
Top Bottom