Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

Siku hizi hakuna upendo , watu wanasambaza huduma.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Wachache watamuelewa mtibeli, imagine nakuita date, our first date alafu mwanamke unademand nauli hahah godamit! Hiyo ni red flag unajua tu huyo demu ni class gani.

Waache!
Alafu kuna mijinga ikipigwa matukio inajfanya inahasira za kijinga😂😂 yaani kama Wendawazimu hivi. Ukiyasikia yanavyoongea ni kama nati zimelegea. Ooh! Nimetumia gharama kubwa sijui nimelipa blahblahblah!
Alafu Mpumbavu hanaga aibu. Hataki kama kujieleza hivyo ni kujidhalilisha kuwa yalikuwa majinga yenyewe yanaona yalikuwa yanawajibika😄
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiwasanue wana bhanaa, unaharibuu sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Elewa kuwa Mwanamke anayekupenda hakosi NAULI ya kuja kukuona mpenzi wake. Mwanamke hawezi kukosa nauli kwa Mwanaume anayempenda au mtoto wake aliyemzaa. Na Mzazi wake.

Umemaliza
 
Elewa kuwa Mwanamke anayekupenda hakosi NAULI ya kuja kukuona mpenzi wake. Mwanamke hawezi kukosa nauli kwa Mwanaume anayempenda au mtoto wake aliyemzaa. Na Mzazi wake.

Umemaliza

Lakini lazima Dada zetu waendelee kutoa somo kwa wale wenye akili nzito
 
😄😄
Siku ukiwa na mimi elewa kuwa lazima unipende kweli ili mambo yaende vinginevyo mapema tuu utaaga mashindano.

Endeleeni kuwa na hao mnaowaona watoaji na wakarimu huku kila siku wao ndio wakiwa wanaua na kulialia humu
Kwahiyo mwanamke asipohitaji hela kutoka kwako ndio anakupenda? Hivi wewe hata ukioa kwenye harusi patakuwa na chakula kweli?
 
Kwahiyo mwanamke asipohitaji hela kutoka kwako ndio anakupenda? Hivi wewe hata ukioa kwenye harusi patakuwa na chakula kweli?

Wanawake tabia zenu zinafahamika. Mwanamke kama hakupendi hawezi kuvumilia bila kupewa chochote. Wanawake ni wabinafsi kwa kiwango wanachoshindwa kujizuia.

Unawaza kula kwenye Harusi? Umaskini mbaya Sana
 
Anawafundisha uchoyo huyo

Nawafundisha kuwa Wanaume.
Mwanaume lazima awe mwerevu anayejiamini na kujua kipi kwake ni sahihi.

Sasa demu ndio umemtongoza tuu kuja kwaajili ya mazungumzo ati umtumie nauli utadhani yeye hana shida. Thubutu! Watafanya haohao
 
Inategemea umemuapproach meanamke wa aina gani, hata mimi sio mdau wa kutuma nauli, ila kama binti hana kazi na unajua kabisa hana ajira unatuma tu. Msiwe wabahili hadi kupitiliza.
 
Inategemea umemuapproach meanamke wa aina gani, hata mimi sio mdau wa kutuma nauli, ila kama binti hana kazi na unajua kabisa hana ajira unatuma tu. Msiwe wabahili hadi kupitiliza.

Wanawake wakiamua lao linakuwa.
Mpe Mwanamke task hata kama unaona hana uwezo alafu muache kama hataitimiza.

Mwanamke kama hakupendi hawezi kutoa nauli hata kama anayo kuja kwako
 
Wajomba mnahangaika sana na hii maisha......mwanaume pambana ujiweke sawa kiuchumi wao wenyewe watakua wanakuja hata bila kuomba hyo nauli mnayozozana
 
Kwahiyo mwanamke asipohitaji hela kutoka kwako ndio anakupenda? Hivi wewe hata ukioa kwenye harusi patakuwa na chakula kweli?
Sikiliza Hanna.
Mwanamke kutunzwa ni muhimu 100%
But usiuze qumma yaani ulipwe baada ya tendo au siku ya kwenda kuliwa jigharamie tu hii humpa mwanamke heshima kubwa sana.

Kwa heshima hiyo hata siku nyingine ukahitaji hata 500k kwa dharura unapewa haraka sana kwani me atajua kweli una shida kwa vile wewe sio omba omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…