uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Kununua ni kununua tuu
Nilijua kwamba huwezi nielewa, uwe na siku njema comred
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununua ni kununua tuu
Nilijua kwamba huwezi nielewa, uwe na siku njema comred
Uko smart mkuu, hii ndio principle yangu. Unaangalia hali ya mtu, sio kila Ke unampa, lakini kuna Ke ukiwapa ni sawa kabisa, mtu yupo kwa wazazi na unamhitaji awe mtu wako, utakutana nae vipi wakati hana kipato? Aombe hela kwa baba aje ghetto umuweke? Sio sawa...Kuna scenario za kutoa pesa,
lazima uangalie hali ya uchumi ya huyo manzi mwenyewe kama ana-deserve kupewa nauli.
Kwa mfano uko na demu na unajua hali yake sio nzuri, let's suppose she's broke or still at home mtoto wa baba hawezi kutoa pesa akaja ulipo and you're sure of that she can't afford the price of coming to your place hapo utakuwa na sababu ya kutuma nauli ili mzigo ukufikie upige upite hivi.
Kuna wale unajua kabisa kuwa anauwezo wa kujilipia nauli lakini anataka utume, hapa utatuma ua kutokutuma kwa kufanya technical analysis kama kwenye forex kwa kuangalia what happened in the past, Je, ulishawahi kumtumia nauli alafu hakutokea? Kama ndio basi don't you ever dare to send her your money since history tend to repeat itself.
Alafu kuna yule hataki kuja anatoa nauli kama excuse, huyu game ni simple mwambie chukua gari nauli unaikuta.
Tukirudi kwenye sheria za ma-legend sasa ''usimpe mwanamke hela mpaka umuoe, wewe sio baba yake''
However, These Dar es salaam Girls are nothing but trouble.
I got you right you right my bro from another mom!Uko smart mkuu, hii ndio principle yangu. Unaangalia hali ya mtu, sio kila Ke unampa, lakini kuna Ke ukiwapa ni sawa kabisa, mtu yupo kwa wazazi na unamhitaji awe mtu wako, utakutana nae vipi wakati hana kipato? Aombe hela kwa baba aje ghetto umuweke? Sio sawa...
Na kwanini uwe na mwanamke ambae hana kipato., leo ataomba nauli, kesho atakuomba smart phone na trend itakua iyo iyo inshort majukumu yote ya wazazi wake utaangushiwa wewe. Mwanamke ambae hana kipato ni kausha damu labda tu awe mkeo na mmekubaliana awe mama wa nyumbani na wewe ndio ubebe mzigo wote wa ustawi wa kiuchumi kwenye familia.Uko smart mkuu, hii ndio principle yangu. Unaangalia hali ya mtu, sio kila Ke unampa, lakini kuna Ke ukiwapa ni sawa kabisa, mtu yupo kwa wazazi na unamhitaji awe mtu wako, utakutana nae vipi wakati hana kipato? Aombe hela kwa baba aje ghetto umuweke? Sio sawa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Asante mtibeli kuna binti yupo mpanda anasema nimtumie nauli aje lakin roho inasita bac kwa uzi uu swala limesitishwa ntatafuta tu huduma karibu.
Bora yeye, mimi uta Iia kabisa😄🤣Wewe Mtibeli ni bahili sana na pia ni mchoyo.