Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Zaidi ya ukosefu wa maadili pia ni ukosefu wa akili
Ni kweli Rais wa Matajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya ukosefu wa maadili pia ni ukosefu wa akili
Umenena vema uliposema maisha Kwa 90% ni kazi na Kwa 10% ni burudani.
Yeah, usipende kutabirika sana Kwa watoto wako kwani watakutabiri na kukusumbua.Watoto bila kuwa mkali wa maneno na vitendo ni ngumu
Haswa mkuu..... Sio poaYeah, usipende kutabirika sana Kwa watoto wako kwani watakutabiri na kukusumbua.
Hakika guru!Ni kweli Kabisa
Huja yako ungeweka specifically kwa TanzaniaMpo salama Kabisa!
Ukiona watoto au kijana ambaye ni fuata mkumbo, fasheni, mfuasi na kawageuza Wasanii wa Muziki, Drama, na Filamu kuwa Role model ujue tayari mzazi au mlezi kuna mahali amefeli.
Na ili umfelishe mtu yeyote au Jamii yeyote itakupasa uwape nguvu Wasanii wa drama, Filamu na Muziki. Ndio Njia rahisi Kabisa ya kumfelisha Mtu hasa Akiwa mchanga Kabisa, kijana.
Jamii Makini na ambazo zinaweza WA kufanya mabadiliko makubwa kwa wakati hujao hudhibiti Sana Masuala ya Filamu, Muziki na drama. Huyapa kipombele kidogo na kuyadhibiti yasionekane kirahisi kwa Watoto na vijana wadogo.
Ni kupitia Muziki, drama na Filamu ndipo mtoto anaweza kuharibiwa vibaya future yake, mitazamo yake, uwezo wake wa kufikiri na mitindo yake ya Maisha.
Wazazi wenye mipango ya kutawala wengine, wazazi wenye kuandaa watoto kuwa success Planner, huwadhibiti watoto kuangalia mambo ya hovyo mtandaoni na kwenye Luninga.
Mtoto wa Miaka chini ya kumi na nane. Hatoweza Kupata faida yoyote Ile kwa kuangalia na kusikiliza Muziki wa kisasa, drama na Filamu za kisasa zilizojaa Maudhui yaliyokosa maadili.
Vijana wengi wa Miaka ya 80-90 walioharibika kwa kutumia madawa ya kulevya, kujiingiza kwenye ushoga na usagaji, kutembea uchi , kujichora Tattoo wengi wao ni matokeo ya kuwaiga Wasanii wa Muziki, drama na Filamu.
Mimi ni Mtunzi wa Simulizi pamoja na scene za drama na Filamu. Kama Mtunzi ambaye zipo baadhi ya scene nilizozitunga kwa baadhi ya Filamu na tamthilia. Ninafahamu Kile ninachokisema kutokana na Kazi za utunzi, uongozaji na utayarishaji wa Filamu.
Haiwi bahati mbaya Wasanii kukaa uchi. Haiwi bahati mbaya kwenye Filamu kuonyesha urahisi katika maisha, na wahusika kukaa uchi. Sio kwa bahati Mbaya..
Unafikiri haiwezekani Wasanii wa Muziki, drama au Filamu kuigiza Bila uchafu na mambo yasiyofaa. Inawezekana Kabisa.
Ni jukumu la mzazi kudhibiti mtoto wake mwenye umri chini ya miaka 18 anayemtegemea na ambaye yupo nyumbani kuangalia Muziki wa kisasa, drama na Filamu.
Mtoto aliyeanza kujitegemea, uliyemfunza akafunzika ndiye anaweza kuanza kuangalia hao wasanii kwani tayari ushamjenga na hawezi kuhadaika na Drama, ulaghai na propaganda mbaya zinazoendeshwa nao.
Watoto wadogo hawapaswi kuyachukulia maisha kama Entertainment na Sports. Kwani maisha sio burudani na michezo.
Maisha ni KAZI kwa asilimia tisini
Kisha burudani na Michezo ndio kwa asilimia 10.
Mtoto mdogo kuanza kuchukulia maisha ni burudani na Michezo ni kumfanya aendekeze Michezo na burudani kwa asilimia 90% na Kazi asilimia 10.
Ahsante Sana.
Mtibeli, Safarini
Awesome.....Yeah, usipende kutabirika sana Kwa watoto wako kwani watakutabiri na kukusumbua.
Ikiwa ni Tanzania pekee ,tatizo nini ushamba wa wazazi wapya na vizazi vyao?!!Huja yako ungeweka specifically kwa Tanzania
Ni sahihi mkuu unaweza ukawa na furaha ni ukambadilikia mtu au unaweza kuonesha sura ya hasira na ukatoa zawadi Kwa watotoAwesome.....
Mimi sitaki kutabirika na yeyote...kuanzia huyo mama watoto....
..... watoto talented waliosoma "kayumba...."Mkuu watoto kama wewe ni Wachache
Ni Sawa na watoto waliosoma shule za Kayumba waliofaulu. Ni talented na wanaoweza kujisimamia wenyewe.
Ni Wachache
Nimesema hivyo kwasababu binafsi nina experience mbovu na wasanii wa Tz..Ikiwa ni Tanzania pekee ,tatizo nini ushamba wa wazazi wapya na vizazi vyao?!!
Nchi nyingine za Afrika wamewezaje kuukwepa ushamba huo wa kimaisha?!!
Swadakta ha ha haNi sahihi mkuu unaweza ukawa na furaha ni ukambadilikia mtu au unaweza kuonesha sura ya hasira na ukatoa zawadi Kwa watoto
Uko sahihiWazazi wenye mipango ya kutawala wengine, wazazi wenye kuandaa watoto kuwa success Planner, huwadhibiti watoto kuangalia mambo ya hovyo mtandaoni na kwenye Luninga.
Ni ngumu kujihisi furaha mkuu wangu......Nimesema hivyo kwasababu binafsi nina experience mbovu na wasanii wa Tz..
Hivi mfano binti yangu nitajihisi furaha nikimuona ni role model wa msanii wa filamu?!
Shukrani. Ntakuwa miongoni mwaoMkuu watoto kama wewe ni Wachache
Ni Sawa na watoto waliosoma shule za Kayumba waliofaulu. Ni talented na wanaoweza kujisimamia wenyewe.
Ni Wachache