Ni bora wawalee kisha waniletee Mimi.Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu.
Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji, kutopata elimu, kutosikilizwa madai ya mwanamke, etc
Haya ndio madhara ya kufanya itikadi ya kuletewa na kumezeshwaa izidi utashi binafsi uliozaliwa nao.
View attachment 3512026
Ulichosema ni kweli. Kuna kabila moja hapa nchini (sitalitaja) ambapo zamani akifa chifu wakati wa mazishi lazima apatikane mtu wa "kumsindikiza". Yaani mtu anazikwa kaburini pamoja na chifu ila yeye anapaswa kuzikwa akiwa hai. Anakalishwa pembeni mwa maiti ya chifu kisha kaburi linafukiwa.i blesseed the day Wamisionari walivyotia mguu kwenye ardhi yetu kutuleta ujumbe mzuri, wengi wetu tunachukulia poa na kawaida maisha tulionayo leo hii na hatutambui how similar mila zetu zilikuwa kama hizo za primitive pakistani kabla ya Christiniaty kuingia kwetu, ukijua mambo ya kimila ambayo yalikuwa ni kawaida kwenye mila zetu leo hii hauwezi kuamini, kuanzia kutoana kafara, kuuana, kuna watu walikuwa wanazikwa hai yaani wanafukiwa huku wakiona na mambo mengine mengi ya kutisha sana.
mmesahahu utekaji na mauaji ya watoto wenye ulemavu wa ngozi yaliyoshamiri awamu ya na kuuza viungo vyao for power, how evil is that? ...
Itikadi gani hiyo ? fafaunuaHuko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu.
Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji, kutopata elimu, kutosikilizwa madai ya mwanamke, etc
Haya ndio madhara ya kufanya itikadi ya kuletewa na kumezeshwaa izidi utashi binafsi uliozaliwa nao.
View attachment 3512026
Uislamu Moja ya jambo waliojemea vikali katika Aya zake ni mauaji ya vichanga haswa wa KikeYou know better secretary wa hamas
Waanze mara ngapi??Wajinga sana hao jamaa,baadae mwanamke atakuwa bidhaa adimu sana watajila vinyeo
Ndo waache sasa kuua vipochi manyoya vinavyozaliwaWaanze mara ngapi??
HaijalishiKajielimishe zaidi kijana hiyo ni tamaduni ipo India na Pakistan wala haina uhusiano na dini
Na kikubwa kinachowafanya wafanye hayo ni gharama kubwa sana za kuozesha watoto wa kike kwasababu wao ndio wanaotoa mahari kuwapa familia ya wanaume.
Sasa wakiwamaliza hao Wanawake wakiume watazaliwaje? mbona maajabu haya? wanaendana na utofauti na uumbaji wa Mungu? Nchi si itakuwa na wanaume tu watazliana vipi sasa.Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu.
Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji, kutopata elimu, kutosikilizwa madai ya mwanamke, etc
Haya ndio madhara ya kufanya itikadi ya kuletewa na kumezeshwaa izidi utashi binafsi uliozaliwa nao.
View attachment 3512026
Siyo baadae hata sasa madhara wameshayaona,tupo nao hapa Kariakoo wanakwambia Pakistan ukijiona unadindisha sana ukasema uongeze mke itabidi uvuke boda Bangladesh au India ukaoe huko.Wajinga sana hao jamaa,baadae mwanamke atakuwa bidhaa adimu sana watajila vinyeo