Moja ya harusi bora kabisa hii

Moja ya harusi bora kabisa hii

Sio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nk

Ndoa kama hixo ni watu ambao hata ndugu hawataki wanajioza wenyewe.Wakati kawaida jamii ndio inatakiwa ikuoze .Watu wanaofurika ndio waozaji ukiona wachache jua hao sio wati wa watu kaa nao mbali ni watu wa maisha self-contained hao.

Harusi ya majizo mmiliki wa EFM na Lulu ilikuwa kama hizo. Je lulu na majizo hanawana watu, ama hawana network ?

Harusi ya Millard Ayo ilikuwa kama hizo, je millard Ayo hana watu ama hana network ?

Wazungu wanafanya harusi kama hizo za watu wachache, je wazungu hawana watu ama hawana network ?
 
Issue watu wa aina hiyo ni wabinafsi huwezi waona hata kwenye kuchangia harusi au misiba ya wengine.

Hivyo hujua wazi wakiwa na harusi zao hakuna watakaowachangia.Hivyo kujificha kwenye hilo chaka la harusii za watu wachache sijui.sita nk wanajua network kwenye za kuchangiana harusi wao hawamo hivyo wanakuwa hawana network kwenye eneo hilo.Waweza kuwa na network kwenye maeneo mengine lakini sio hilo
 
Wewe mjinga kweli, unajua majizo kaajiri watu wangapi kwenye media yake. Je staff wake tu hawawezi mchangia afanye harusi ?

Unajua millard Ayo ameajiri watu wangapi ? Na pale clouds kuna wafanyakazi wenzake wangapi ? Je hao wa clouds tu hawawezi mchangia afanye harusi ?
 
Ahahahah...kanzu mpya tayari mama, ishaanza kupiga jaramba kufikia u- expert ili nianze ku interact. Ilishaku beep one time kwa mbaaali, soon hii inaenda off tar 5 april mwisho baada ya kutoka kwa Madiba Ubuntu botho 😂😂
Hapana! Ila nimemkumbuka amezoea kuniita hivyo...
Ukisajili laini mpya usisite kunipa taarifa🤸‍♀️
 
Wewe mjinga kweli, unajua majizo kaajiri watu wangapi kwenye media yake. Je staff wake tu hawawezi mchangia afanye harusi ?

Unajua millard Ayo ameajiri watu wangapi ? Na pale clouds kuna wafanyakazi wenzake wangapi ? Je hao wa clouds tu hawawezi mchangia afanye harusi ?
Hata wakimchangia Harusi itakuwa na hao wafanyakazi tu.kuepusha aibu kuwa anaifanya private sababu yasijeanza majungu kuwa harusi ilifurika wafanyakazi tu ndugu hawakuwepo
 
Hizo ni harusi za jamii yenye akili sana

Harusi ya majizo mmiliki wa EFM na Lulu ilikuwa kama hizo. Jiulize Je lulu na majizo hawana watu wa kuwachangisha ?, ama hawana network ?

Harusi ya Millard Ayo ilikuwa kama hizo, je millard Ayo hana watu wa kuwachangisha
Huwa wengine wana matatizo yao

Mfano Magufuli aliwahi tamba waziwazi kuwa alifunga ndoa na Janet Magufuli akiwa anasoma chuo.kikuu na ndoa ilifungiwa pale kanisa la chuo kikuu ndoa hiyo ilishirikisha watu watano yeye na bi Janet Magufuli na wasimamizi wao wawili na Padre aiyefungisha ndoa

Baada ya kufungishwa ndoa walikunywa soda moja moja wote watano .Baada ya kunywa soda Magufuli akaendelea na masomo yake shughuli ya ndoa ikaishia hapo.

Hapo ukiangalia unaona kuna shida ndoa kama hiyo.Ndugu wa pande zote wapo ,marafiki wapi,majirani wapo nk why iwe hivyo?
 
Back
Top Bottom