Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Hapo jiandae na kisukari mkuu.
 
Ni kweli. Asili ya ndizi mchare ni uchagani na huko hawatumii nazi. Ndizi zikipikwa kwa njia sahihi inayotumiwa na wachaga zinakuwa na nyama za kawaida+utumbo.
Nyama ni pai ndio maana hata sikuitaja, hiyo lazima iwepo.

Ila kwa sasa wanaongezea na nazi mkuu.
 
pepsi ni marketing strategy waliyotumia, maduka mengi hayana coca so watu wanakunywa wanachopata.

Maduka mengi yananunua pepsi na siyo coca kwasabab pepsi ni cheaper
Ni kweli ila maeneo ya Moshi na Arusha bidhaa zao ni adimu sana huwa nikienda bar au madukani napata tabu sana kuipata naona watu wa kule wameipiga vita ili wamuungishe bonite cocacola.
 
Iko wazi Pepsi na soda ambazo ni family yake like mirinda nyeusi zinauzika sana
Hizo mirinda hazisogei
Labda kwenye baadhi ya mikoa
Nikiongelea kanda ya kaskazini
Bonite na vinywaji vyao (Maji na Soda) alafu Pepsi kiasi japo now zinaenda sana.
 
Ni kweli mkuu nakumbuka miaka ile nafikiri ilikuwa kati ya 2010-2015 ndio bei zilipanda ghafla.
 
jibu ni rahisi, coke waliharibu wenyewe ingredients zao walianza kuuza coke kwenye chupa mpya ambazo hazikuwa na radha ya awali na baada ya miaka kadhaa wakaja na coke diet ambayo hayana sukari hivo hizi sababu mbili ndio anguko lao
 
pepsi ni marketing strategy waliyotumia, maduka mengi hayana coca so watu wanakunywa wanachopata.

Maduka mengi yananunua pepsi na siyo coca kwasabab pepsi ni cheaper
Wala sio Marketing.

Coca wameharibu formula ya kinywaji chao.

Kuna kipindi coca ilikuwa tamu sana na pepsi ilikuwa taka taka tu.
 
Kumbe? Ila Pepsi bigi ni mchanganyiko wa Mtanzania.
Pepsi ya kawaida ni mchanganyiko ulio dunia nzima

ndio mkuu alafu pia sasa hivi kupata soda za kampuni ya coke ni kazi sana nilikuwa Geita juzi maduka mengi madogo hayana soda za coke kwa sababu hazipatikani nadhani kampuni inayumba
 
Sio nazi.
Iwekwe nyama nyingi zenye mafuta futa.
Ni kweli. Asili ya ndizi mchare ni uchagani na huko hawatumii nazi. Ndizi zikipikwa kwa njia sahihi inayotumiwa na wachaga zinakuwa na nyama za kawaida+utumbo.
Nyama ni pai ndio maana hata sikuitaja, hiyo lazima iwepo.

Ila kwa sasa wanaongezea na nazi mkuu.
Ni kweli. Nakubali nazi inatumika. Ila mimi nilielezea upikaji wa asili.
 
Duh sijanywa soda mwaka wa 10 sasa

Ova
Mi nimeacha rasmi mwaka jana baada ya kuwa teja la pepsi. Nilkuwa nikiamka naiwaza kumbe wanatia coccaine unakuwa na arosto. Watu hawajashtuka. Bas tu binadam huwa tu ajiua taratib had tukilazwa hudhan tumeanza siku hiyo. Siamin mimi kuacha peps na aina zote za soda na vinywaj vya aina hiyo.
 
ndio mkuu alafu pia sasa hivi kupata soda za kampuni ya coke ni kazi sana nilikuwa Geita juzi maduka mengi madogo hayana soda za coke kwa sababu hazipatikani nadhani kampuni inayumba
Inawezekana kampuni imeyumba au haina soko eneo hilo.
Kuna baadhi ya maeneo ukifika unakuta kampuni ya pepsi tu au ya Coca-Cola tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…