Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Peps kama peps ndani yake kuna kilevi ambacho humufanya mtu kukifikiria kila wakati kama cocane , hivo ukijichanganya ukanywa moja kesho keshokutwa bas hutokaa uache. Mm ni mlevi wa peps nikipata chakula cha mchana lazima iwepo pemben nimejaribu kuacha imeshindikana.
Dah nimejitahidi week imepita bila kunywa pepsi, mdogomdogo nitaacha kabisa
 
Ni kweli hata maji kifungashio Cha maji ya afya kilikuwa Cha kuvutia soko lao likapanda na uhai ikapoteza soko lakini uhai imerudi kwa kasi sana lita 1.6 ni mia tano wakati afya lita 1.5 ni mia sita na lita1 ndiyo mia tano
Huyu maji ya uhai kashajitia nuksi kitambo tu..ile kuyafanya maji yake yawe machungu sijui alikuwa anafikiria nini aisee..pamoja na kuongeza kiwango cha lita bado soko lake limeshuka ..

Kwa upande wa maji ni hivi
1) Afya
2) Masafi / Maisha
3) Uhai
 
Beaute is in the eye of the beholder.
Mimi nitasema hakuna chakula kitamu kama Ugali na mlenda.
Umenikumbusha mchuano mkali wa kifalsafa kati ya Plato na mwanafunzi wake aitwaye Aristotle
 
Back
Top Bottom