Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mwanamke mwenye nidhamu achana na magumegumeUkihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.
Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"
Mambo hayo ni :-
1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")
Mambo mengine yote naweza kuyafanya kwa uhakika na ukamilifu wa asilimia 💯 lakini hayo mawili hata unishikie mtutu wa Bunduki.
Hilo la kwanza kuna wadau wamelizungumzia sana hapa JF lakini naamini hili la pili halipo hapa JF tangu ianzishwe,sasa leo nitaligusia tu kimtindo.
Kwanini siwezi kumnunulia chupi mwanamke?
1.Siwezi kumnunulia chupi kiumbe ambaye akitoka hapo anakwenda kuvuliwa hiyo hiyo chupi na mwanaume mwingine bila aibu.
2.Chupi hiyo hiyo uliyomnunulia itakwenda kufuta uchafu wa kwenye mkuyenge wa mwanaume mwingine wakimaliza kupigana miti.
3.Kupitia chupi uliyomnunulia atakuwa anapewa sifa za kijinga na janaume lake huko "Baby chupi imekukaa utamu kweli".
4.Chupi utakazokuwa ukimnunulia yeye atakuwa anataka kila mara kwenda kumfunulia bwana'ake ili aone namna zinamkaa.
5.Kupitia chupi hiyohiyo uliyomnunulia akitoka kupigwa mkuyenge atabeba laana huko atakuletea nyumbani.
Mimi Binafsi mwanamke wangu au mpenzi wangu inapaswa anunue chupi kwa pesa na gharama zake siyo zangu!.
Mambo mengine yote nitafanya ila si hayo mawili.
Nipo Ununio njooni mniue kama mmekwazika!.
Hebu nijaribu kwako mwaya!Tafuta mwanamke mwenye nidhamu achana na magumegume
Wacha weeee,kwahiyo demu wako huwa anachapiwa kwenye kitanda chako?Kama wanamkula kwenye kitanda chako mwenyewe, nyumbani mwako,.. Chupi kitu gani
Mi nipo hapa getini kwako nakusubiri utoke nikupongeze, sijaja kukuua, usihofu mkuu.Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.
Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"
Mambo hayo ni :-
1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")
Mambo mengine yote naweza kuyafanya kwa uhakika na ukamilifu wa asilimia 💯 lakini hayo mawili hata unishikie mtutu wa Bunduki.
Hilo la kwanza kuna wadau wamelizungumzia sana hapa JF lakini naamini hili la pili halipo hapa JF tangu ianzishwe,sasa leo nitaligusia tu kimtindo.
Kwanini siwezi kumnunulia chupi mwanamke?
1.Siwezi kumnunulia chupi kiumbe ambaye akitoka hapo anakwenda kuvuliwa hiyo hiyo chupi na mwanaume mwingine bila aibu.
2.Chupi hiyo hiyo uliyomnunulia itakwenda kufuta uchafu wa kwenye mkuyenge wa mwanaume mwingine wakimaliza kupigana miti.
3.Kupitia chupi uliyomnunulia atakuwa anapewa sifa za kijinga na janaume lake huko "Baby chupi imekukaa utamu kweli".
4.Chupi utakazokuwa ukimnunulia yeye atakuwa anataka kila mara kwenda kumfunulia bwana'ake ili aone namna zinamkaa.
5.Kupitia chupi hiyohiyo uliyomnunulia akitoka kupigwa mkuyenge atabeba laana huko atakuletea nyumbani.
Mimi Binafsi mwanamke wangu au mpenzi wangu inapaswa anunue chupi kwa pesa na gharama zake siyo zangu!.
Mambo mengine yote nitafanya ila si hayo mawili.
Nipo Ununio njooni mniue kama mmekwazika!.
Wapo kina Kajala, Aunty Ezekiel, Linah Sanga, na Wema Sepetu, wana nidhamu sana na hawagawi hovyo.Tafuta mwanamke mwenye nidhamu achana na magumegume
MchumbaAisee 😃😃
😂😂😂Mim nishachukuliwa juzi tu hapaHebu nijaribu kwako mwaya!
Nae lazima awalipeNgoja wamnunulie mkuu ila mimi ni NO.
Aisee [emoji2][emoji2]
Kama chupi tu huwezi kununua lazima ushangae wanaowanunulia wanawake zao magari. Pole sana.Unamnunuliaje gari mwanamke?
Mwanamke anapaswa kupanda daladala hadi anakufa
Me sina neno my friendSema chochote mtoto mzuri [emoji257]
Yes, mamboMchumba
Ninamiliki gari aina ya BMW X3 Nyeusi ya Mwaka 2018,nililinunua kwa $ 18273.Kama chupi tu huwezi kununua lazima ushangae wanaowanunulia wanawake zao magari. Pole sana.