Anyways ni mtazamo wako lakini, je unajua siri ya kitanda chako na mashuka ulonunua mwenyewe mkeo alishayafanyia nini, je unajua hiyo pesa unayompa kama asante au hata kwa matumizi mengine unajua anaenda kuitumia wapi kama anaenda kumpa mwanaume mwenzio kama asante kwakuwa kamkula vzr au hata vocha unayompa unajuaje kama inaenda kuhalalisha mawasiliano ya yeye kupatatana na aliyepanga kwnd kumpa uroda. Kuishi na mwanamke shukuru kama akiwa anakuheshimu tu mengine achana nayo kufatilia utamaliza dunia yote usimpate mwema