Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

Mkuu kwanza sina mke na sihitaji kuwa na mke,mimi nawachapa sana mkuyenge halafu kila mtu anaendelea na maisha yake,sitaki laana ya mijianamke kwenye maisha yangu
 
Umenikumbusha mbali bhn kuna dem aliniletea pigo hzo ety ninunulie dazen ya chup nkamuuliza unataka kufungua duka? Tukabak tunaangaliana akasema hapana tangu hapo hio mada hanambiagi namuona na pichu tofaut hope huyu anaemnunulia anamjali sana kama ni yeye bas atakaemuoa atafaid sana 😀
 
Mkuu kwanza sina mke na sihitaji kuwa na mke,mimi nawachapa sana mkuyenge halafu kila mtu anaendelea na maisha yake,sitaki laana ya mijianamke kwenye maisha yangu
Utakua umeoa halafu mkeo anakupelekesha kishenzi.
 
Me nilishanunua aisee🤣🤣🤣, lakini nilimvisha nikamwambia ageuke nione ilivyomkaa alafu ana traakoo. Alipogeuka nikaishusha kidogo alaf nikaiweka akiwa ameinama..lakini siko nae tena.
 
Bado hujasema, ila unataka kusema, na utasema tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…