Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee

Bado kuna watu wa aina hii? Nikiingia JF nikikuta story nasoma au nisisome na siwezi kulalamika kwasababu ameishia njiani.
Mtu kaamua awasimulie story yake kwahiyo akiishia njiani ni uamuzi wake na siyo kumpangia. Watu wanakazi nyingi kuna wakati anajiiba. Mimi hata story ikiwa nzuri kiasi gani naweza kusoma na niisimalize, nikaishia njiani
 
Naweka kambi hapa!!
 
Ok ok ok.
 
Sas
Sasa kwann una share kitu ambacho hunakiandaa tumia laptop andika Kila kitu Kisha share Kwa umma. Kutafuta like na comment ni ujinga wa watoto wa Facebook
 
Sas

Sasa kwann una share kitu ambacho hunakiandaa tumia laptop andika Kila kitu Kisha share Kwa umma. Kutafuta like na comment ni ujinga wa watoto wa Facebook
Mtu kushare story yake ni moja ya zawadi. Km unapewa zawadi kwanini ulalamike hii mbaya wakati unapewa bure?
Mtu anayeshare story yake huwa namheshimu sana hata km hajamalizia maana muda wa kuandika, bando la kwake nk.
 
Mnisamehe sana Jana Mambo yalikua ovyo Leo bila Shaka tunaimaliza wakuu.
Huwa namkubali sana mtu kutoa story yake. Kutoa siyo shida ila tatizo huwa linakuja kwenye muda na kupangilia visa kwa kufuata taratibu zote za uandishi.
Thumb up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…