Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee

Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee

Hongera IBRA wa PILI , vijana wa Songea ni wapambanaji sana na mmejaa karibia machombo yote ndani ya Tanzania hii. Hukuwahi kufikiria kwenda Tundulu kwenye machombo ya Ruby? Kuna kipindi nilikuwa Chunya kikazi kulikuwa na wangoni wengi Sana kama wachimbaji wadogo wadogo
This time nipo pembezoni mwa jiji la Dar napiga kaz
mkuu mi nilikua na nunua ila sijawai chimba au kuzama mgodini deep no nilikua naona Tu watu wakiingia huko inahitaji moyo hasa ndio maana wengi wao wanatumia bange kuchangamsha akili ni hatari Mzee Acha Tu Maisha haya.
 
Pia sio kwenye migodi tu hadi ziwani mfano ziwa Nyasa, Rukwa na Tanganyika haya ni baadhi ya maziwa niliyowahi kufika kwa shuhuri zangu za kikazi nikawakuta wangoni huko. Kiufupi Wangoni popote pale mnahustle mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom