Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee

Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee

Safi sana mkuu..umepambana kama mwanaume na inaonekana una nia hasa ya maendeleo...nikushauri kitu mkuu hama huko kote njoo Dar es Salaam ..tumia nguvu hizo hizo ..hutafika miaka mitatu utakua na hela...ongeza tu akili kidogo...! Hapa dar nguvu bila akili ni umaskini...
 
Huo ndio uanaume kamanda endeleza mapambano bila kukata tamaa, kisa chako kinatia moyo ktk upambanaji lkn pia ulionyesha uaminifu
 
huko msumbiji si ndo nzuri wanasema
Ok changamoto zipo ushuru mkubwa kama mtaji wa kuunga unga Una tetereka
Kuna michango ya ghafla iyo utake usitake lazima utoe unaweza ambiwa Tu wanunuzi wa dhahabu 150k inahitajika
Kuna LUPILICHI kila mwezi nao hawa wanakadiria
Nilipokuepo Mim kila mwez unapeleka asilimia ambayo ni laki 3 na hii unawakata wauzaji pindi wanapokuja kuuza dhahabu kwako mfano point 1 ambayo ni ef 10 unakata buku unampa ef 9 hii nayo changamoto kubwa mchimbaji apendi kukatwa na usipo kata itabidi utoe pesa yako ya mtaji upeleke.
Zingne nikikumbuka
 
Da wanaume tunapitia mambo mengi magumu Sana. Tuna mengi Sana ya kusimulia lakin Kwa haya machache ikaee faraja Kwa mahasila wote duniani ..
 
Ok changamoto zipo ushuru mkubwa kama mtaji wa kuunga unga Una tetereka
Kuna michango ya ghafla iyo utake usitake lazima utoe unaweza ambiwa Tu wanunuzi wa dhahabu 150k inahitajika
Kuna LUPILICHI kila mwezi nao hawa wanakadiria
Nilipokuepo Mim kila mwez unapeleka asilimia ambayo ni laki 3 na hii unawakata wauzaji pindi wanapokuja kuuza dhahabu kwako mfano point 1 ambayo ni ef 10 unakata buku unampa ef 9 hii nayo changamoto kubwa mchimbaji apendi kukatwa na usipo kata itabidi utoe pesa yako ya mtaji upeleke.
Zingne nikikumbuka
mtaji kama kuanzia kiasi gani ndo unaona unatosha ? au ndo unaona hailipi ?
 
mtaji kama kuanzia kiasi gani ndo unaona unatosha ? au ndo unaona hailipi ?
Kwa msumbiji kule mkuu Mtaji usipungue 7+ usiwe chini ya hapo zaidi ipande faida utaona
Alafu unawwka na emergency money pembeni kwajili ya changamoto za hapo juu
Kipindi icho ushalipia vibali tayar unaanz kazi
 
Hongera IBRA wa PILI , vijana wa Songea ni wapambanaji sana na mmejaa karibia machombo yote ndani ya Tanzania hii. Hukuwahi kufikiria kwenda Tundulu kwenye machombo ya Ruby? Kuna kipindi nilikuwa Chunya kikazi kulikuwa na wangoni wengi Sana kama wachimbaji wadogo wadogo
 
Back
Top Bottom