Hongera
IBRA wa PILI , vijana wa Songea ni wapambanaji sana na mmejaa karibia machombo yote ndani ya Tanzania hii. Hukuwahi kufikiria kwenda Tundulu kwenye machombo ya Ruby? Kuna kipindi nilikuwa Chunya kikazi kulikuwa na wangoni wengi Sana kama wachimbaji wadogo wadogo