THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari!
Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa
For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya vijana wengine waliko katika Siasa.
Umejiuliza kwanini Boni YAI na sio Martin Maranja?
Martin hua anafanya the same kazi anayofanya Boni ila kuandika matusi ni kawaida kwake so mtu anaetukana ni rahisi sana kupuuzwa na mtu mwerevu au kukosa mvuto Kwa watu so wanaamini kabisa Martin hawez Kua na uungwaji mkono na watu wengii because of his behaviour.
Boni kwa post zake hajawah jibizana na Mwanasiasa yeyote yule na akaweka Matusi.
Kama ashafanya hivo I stand to be corrected.
Jamaa anakosoa sana na kufichua maovu ya serikali na policcm.
Huyu jamaa wa kuitwa BoniYai Ccm na polis ndio wanajua akiwepo tarehe 23 huyu jamaa atakua na Kijiji chake huwez nielewa kama hua unapewa 2K za #
#SIJAOTA MKIA