The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Taahira kama wewe huwezi kuelewa kinachofanyika ngojea usiku uingie na wewe uingiliwe maisha yaendelee. Huna adabu kabisa kuita kazi tunayofanya ni ya kijinga, mjinga ni wewe unayengojea kuingiliwa ili upate mkate wako wa siku.Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Anzisha yako yenye Tija Kwako na wanachama wako, Kwanini usumbuke na yasiyokuhusu? Au umeiona operation hii inaenda kubomoa msingi yenu na sasa unapiga propaganda?Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Na Moja ya udhaifu mbaya zaidi Kwa chama lako ni kubambikia🤔.Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Hivi ni kwa nini Mungu amewanyima baadhi ya watu akili?Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Yaonekana ushauri huo umetumwa na Sirro. PoleKwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Maccm bana wivu tu bila akiliKwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Ngapi hukoo? Mojaaaa. Wapi huko? Kwa mahasimu wa kijani😃Yaonekana ushauri huo umetumwa na Sirro...
Unamaanisha watafute madhaifu ya CCM wazunguke wayapigie kelele. Wewe either una wazimu au huzijui siasa za Tanzania tangu awamu ya tano. Watapiga hizo kelele dhidi ya madhaifu ya CCM, polisccm na Tiss-ccm aka wasiojulikana wakiwa wapi???Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Toa hoja bila matusi. Unajiaibisha mkuu. Hofu takufikisha kubaya.Kwa maoni yangu naona chadema wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu...
Kwa akili yako hebu niambie tija ya kusajili hao watuHivi ni kwa nini Mungu amewanyima baadhi ya watu akili?
Wanakula hela za chama kwa ruzuku ipi?
Hujui kuwa mtu mpaka anakubali kujiandikisha huyo tayari umempata!
Nguvu ya mitandao karne hii bado huijui!
Kama hawawezi kufanya hayo ni heri wajifute tu ijulikane hatuna upinzaniUnamaanisha watafute madhaifu ya ccm wazunguke wayapigie kelele. We we either una wazimu au huzijui siasa za Tanzania tangu awamu yatano. Watapiga hizo kelele dhidi ya madhaifu ya ccm , polisccm na Tiss-ccm aka wasiojulikana wakiwa wapi ???
Sikiliza wewe jaribu kupitia kwa wananchi wa kawaida uone shida halisi zinazowakabili uone kama usajili wa kidijital una impact yoyoteUpumbavu mwingi kwenye hoja hii,dunia ya sasa nu ya techonolojia mkuu!fundisha pia watoto wako kuhusu coding!
Yaani kwa mwenendo huu, hata 2087 ni jirani itahitajika karne kama tatu hivi!!Huenda Wana mkakati wa kuingia madarakani 2087..!! Kizazi kitachokuwepo watakuwa na hyo digital awareness...!! Kwa sa hv wanatwanga maji kwenye kinu
...Kukusanya ada za wananchama kwa urahisi,Kwa akili yako hebu niambie tija ya kusajili hao watu
Shida zinafahamika kwenu kwa zaidi ya miaka 60 na hakuna mlilofanya maana maji,umeme na ujinga na malazi bado ni changamoto.Sikiliza wewe jaribu kupitia kwa wananchi wa kawaida uone shida halisi zinazowakabili uone kama usajili wa kidijital una impact yoyote