Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Una uwezo duni sana wa kufikiria , ungetuuliza tukueleweshe kinachoendelea
 
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Mbovu povu? siuwaache?
 
Sasa kama haina mantik kwann isionwe ya kijinga?
Unajua kinachonisikitishaga kwa sisi makamanda huwa tukiwa challenged basi haraka sana tunaanza kuporomosha matusi wala hatujengi hoja.
Hatupendi kuonyeshwa madhaifu yetu ila sisi kutwa kucha kukosoa wengine
.why?????
SASA HEB FAFANUA UMAANA NA UMUHIMU WA HII PROGRAM YA CHADEMA DIGITAL?
Kama wewe ni mwanachama, hapa ndiyo mahali pa kuuliza Maana ya Chadema Digital?

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Naheshimu mtazamo wako.

Lakini wanachofanya chadema ni jambo zuri na la maana sana, na siku sio nyingi ccm na vyama vingine vitaiga.
 
Tujifunze kupongeza watu wanapofanya vizuri. CHADEMA wanajitahidi kutafuta wanachama na kuwaweka kwenye mfumo, wewe unaita upuuzi. Unataka wapige kelele za matatizo wanayopata wananchi, lakini unasahau ya kwamba asilimia tisini ya vyombo vya maamuzi ni CCM kuanzia bungeni mpaka serikali ya mtaa, halafu unataka hao wale mishahara kelele wapige CHADEMA.
Kwa kusema hivyo unamaanisha chadema hawana ushawishi mahali popote uraiani maana huwa nguvu ya umma haiwezi zidiwa na dola maana tumeona sudani jeshi limezidiwa nguvu na umma limesalimu amri na kurejesha serikali ya kiraia.
 
Naheshimu mtazamo wako.

Lakini wanachofanya chadema ni jambo zuri na la maana sana, na siku sio nyingi ccm na vyama vingine vitaiga.
Hata kama vikiiga haina tija kwani siasa za ajenda Zina nguvu kuliko huu usaniii
 
Taahira kama wewe huwezi kuelewa kinachofanyika ngojea usiku uingie na wewe uingiliwe maisha yaendelee. Huna adabu kabisa kuita kazi tunayofanya ni ya kijinga,mjinga ni wewe unayengojea kuingiliwa ili upate mkate wako wa siku.
Hawa ndo waendesha hii operation? Kwakweli kazi ipo.
 
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.

Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.

Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.

Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
We mwanamke una GHUBU sana!🤣🤣

Halafu inaonekana bado hujaoga kuondoa ile "SHOMBO " harufu, halafu unakimbilia JF kuja KUHARISHA.....🤣🤣🤣😁😁😁😃😃
 
Sijajua kwa nini watu wakiuliza swali linalohusu Chadema(haswa liwe la kuhoji yanayofanyika ndani ya chama)liwe zuri au mabaya majibu yake yanakuwa ni matusi,dhalau,kashfa na matusi hivi tatizo huwa ni nini?

Hivi yakitolewa majibu mazuri na yakuelimisha amuoni mtakuwa mmewasaidia hata wale waliokuwa hawajui/hawafahamu watakuwa wamepata uelewa na kuelimika?
 
Wewe lete hoja sio ngonjera au nyie ndio wapiga hela katika hiyo operation
 
Moja ya operation za kijinga kabisa kuwahi kufanywa na CCM ni hii ya kumleta mwenyekiti wao mbele ya uma wa Watanzania na kukiri kuwa urais wa nchi kwake ni kiti kikubwa kwake na janga kwake na hauwezi🐒🐒🐒
 
Sijajua kwa nini watu wakiuliza swali linalohusu Chadema(haswa liwe la kuhoji yanayofanyika ndani ya chama)liwe zuri au mabaya majibu yake yanakuwa ni matusi,dhalau,kashfa na matusi hivi tatizo huwa ni nini?

Hivi yakitolewa majibu mazuri na yakuelimisha amuoni mtakuwa mmewasaidia hata wale waliokuwa hawajui/hawafahamu watakuwa wamepata uelewa na kuelimika?
Hawa jamaaa wanapenda tu kufukuzwa na kuambiwa kila kitu kiko shwari ndio maana akitokea mtu kwenye system anawapinga anafukuzwa haraka sana
 
Back
Top Bottom