ukihe
sabu wanaotumiainternate kwenye simu ni wachache sana sasa chukua hao nao siyo wote wapenzi wa chadema wanatwanga majiHuenda Wana mkakati wa kuingia madarakani 2087..!! Kizazi kitachokuwepo watakuwa na hiyo digital awareness...!! Kwa sasa hivi wanatwanga maji kwenye kinu