Kawashauri maboga wenzako waache sera zao za ovyo na kipuuzi za kuiba kura na kutumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani, baada ya miaka 60 ya uhuru bado mnachimba mashimo ya vyoo, na mmefanikiwa kufanya maji na umeme ni bidhaa adimu, muone aibu kidogoKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!