The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
- Thread starter
-
- #21
Haya yote uliyoyaandika ni ya kufikirika tu vimeshindwa vilabu vya mpira hakuna chama cha siasa kinaweza...Kukusanya ada za wananchama kwa urahisi,
...Kutunza kumbukumbu za wanachama kwa uhakika(ata mkichoma ofisi data zinabakia online),
...Kutathmini uhai wa chama,
...Kushirikisha na kuwasiliana na mwanachama kwa haraka na urahisi...n.k.
Kama ulikuwa hujui haya basi chama chenu kina watu mbumbumbu kweli!
Erythrocyte jibu hapa maana wewe ndiye propagandist wao. Kweli shetani hajawahi kumshinda MunguKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Umeanza vizuri lkn kumbe hakuna ulichoandika. Hakuna point humo. Hizo kelele watapigia wapi kwa sasa unavyofikiria.Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Shughulika na mambo ya ccm ya Chadema hayakuhusu.Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Hujui techHaya yote uliyoyaandika ni ya kufikirika tu vimeshindwa vilabu vya mpira hakuna chama cha siasa kinaweza
Sasa Kama ni upuuzi kinachokuuma ni nini, Yani unaumizwa na kitu kisicho kuhusu, sie tumeamua hivyo ,kunywa simu basi, ni vyema ushauri wako ukawapelekee wanaccm wenzako ya Chadema hayakuhusuKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Hawa wanasiasa wa kibongo wanaohamahama kama mto songwe ndio uwaamini kwamba umesajili mtu!? Wakiahidiwa uteuzi au kupewa kidumu cha pombe wanahama chama hata bila kuaga!!Umeanza vizuri lkn kumbe hakuna ulichoandika. Hakuna point humo. Hizo kelele watapigia wapi kwa sasa unavyofikiria.
Wenzako wanasajili wanachama na taarifa zao. Mambo yakiwa safi wanajua songwe wana wanachama 50, ruhusa ya mikutano ikitoka wanakutana nao kupanga mikakati. Wana mawasiliano nao muda wote. Takwimu zitawasaidia kujua nini kifanyime kuoata ushindi endapo haki itatawala. Ubabe huwa na mwisho, wala tusiendelee kuamini katika ubabe. Viongozi hubadilika
Kama ningekuwa ccm ningefurahi na kuwapongeza kwa mpango but kama huu ili ccm iendelee kutawala milele ila inaniuma kwani mimi ni muumini wa mabadiliko inavyoonekana unadhani mtu akikisifia chama ndio anakipenda huu mtazamo sio sahihi!Sasa Kama ni upuuzi kinachokuuma ni nini, Yani unaumizwa na kitu kisicho kuhusu, sie tumeamua hivyo ,kunywa simu basi, ni vyema ushauri wako ukawapelekee wanaccm wenzako ya Chadema hayakuhusu
Tukutane siku mnatukabidhi nchi huku mkiwa mmenuniana, najua utasema na kubeza kwamba haiji tokea, Sasa na kwambia wakati tiyari bado mda ufike miaka mitatu sio mingi
Niambie hiyo technology iliwahi kutumiwa wapi na kuleta matokeo!?Hujui tech
Tujifunze kupongeza watu wanapofanya vizuri. CHADEMA wanajitahidi kutafuta wanachama na kuwaweka kwenye mfumo, wewe unaita upuuzi. Unataka wapige kelele za matatizo wanayopata wananchi, lakini unasahau ya kwamba asilimia tisini ya vyombo vya maamuzi ni CCM kuanzia bungeni mpaka serikali ya mtaa, halafu unataka hao wale mishahara kelele wapige CHADEMA.Haya yote uliyoyaandika ni ya kufikirika tu vimeshindwa vilabu vya mpira hakuna chama cha siasa kinaweza
Rudi ukasome upya shule usitupotezee muda hapaNiambie hiyo technology iliwahi kutumiwa wapi na kuleta matokeo!?
Sasa kama haina mantik kwann isionwe ya kijinga?Taahira kama wewe huwezi kuelewa kinachofanyika ngojea usiku uingie na wewe uingiliwe maisha yaendelee. Huna adabu kabisa kuita kazi tunayofanya ni ya kijinga,mjinga ni wewe unayengojea kuingiliwa ili upate mkate wako wa siku.
Hata Mimi nikadaa mtiiiiifu wa ccm lakini hawa jamaa wamenisajiriiKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Hawastuki hawaKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Usishangae hili bwabwa lilipanga foleni kutafuta number ya NIDA.Kuna mijitu viaziKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Uandishi wako haufanani na ID yako ya The Phylosopher, kwasababu wewe hujaeleza undani wa Program hiyo,faida zake na hasara zake; Kabla ya kutoa Criticism za operation hiyo.Matharani kuwahoji viongozi waandamizi wa Chama matokeo ya program hiyo, changamoto zake,n.k.Kajipange.Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Ni wivu tuu! Karibu kunapambazukaKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Sio katika mazingira ambayo umetoa hoja YAKO Kama unataka mabadiko WEWE Kama WEWE umetimiza majukum yapi apo ulipo Ili ayo mabadiko yaje haraka?Kama ningekuwa ccm ningefurahi na kuwapongeza kwa mpango but kama huu ili ccm iendelee kutawala milele ila inaniuma kwani mimi ni muumini wa mabadiliko inavyoonekana unadhani mtu akikisifia chama ndio anakipenda huu mtazamo sio sahihi!