Moja ya sababu ya Marekani Kutathimin Uhusiano na TZ ni "Ukandamizaji wa Uhuru wa Kuabudu/Shughuli za Kidini Kwa Wakristo"

Moja ya sababu ya Marekani Kutathimin Uhusiano na TZ ni "Ukandamizaji wa Uhuru wa Kuabudu/Shughuli za Kidini Kwa Wakristo"

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mwambieni Samia, Marekan inaposema Ukandamizaji wa KIDINI , Huwa inazungumzia UKRISTO.

Na Kwa Nchi yetu, Mkristo pekee anayesumbuliwa na Serikali Kila Kukicha ni CATHOLIC .

Sambamba na Kanisa la Ufufuo na Uzima, ila CATHOLIC Hawa ndio wamefanya Marekani àzungumzie hivo.


Marekani na Ulaya, Wanawaamini sana Wa Catholic Kwa sababu ya Namna ilivyojupenyeza na kuweka Mizizi.

Catholic wakija hadharan kusema jambo, Ujue Wana Ushahidi nalo ,ulitaka hata wakupe Nyaraka Kwa Maelfu, Watakupa.

Kwa Mfano, Simnaona hili suala la Idadi ya Walouliwa?? SUBIRINI TU KAZI IMEISHA YA KUJUA IDADI ,KWA MAJINA, MIKOA, WILAYA, KATA ZA WOTE WALOULIWA.

Zingatieni SANA Marekan anaposema ,UKANDAMIZAJI WA UKRISTO !!!.
 
Mishale kila kona, sijui atajibu wangapi
 
Trump anapokea maagizo ya Papa Leo so ni suala la muda tu watajuta huenda kambi ya kuwa shughulika magaidi wa Boko Haram na ISWAP ikawa Tanganyika kwa lazima.
 
Akianza kufyatuka Mwajuma Ndala Ndefu akasome anaongea na wazee km vile yupo kwenye shule fulani ya Chekechea au anawafokea wanafunzi wa darasa la pili C anawaona wazee wote mazuzu anawauliza WHO ARE YOU? na wenyewe wametumbua tu macho badala ya kumzimia maiki..
 
Back
Top Bottom