Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

Kwahiyo na mabeberu waliompa tuzo ya IDU wewe mcheza vigodoro unawazidi akili na uelewa?
 
We muongo sana na hata haujui mtiririko wa kuomba ukimbizi barani ulaya.
Kwa taharifa yako...unapoomba asylum kama unavyodai kuwa LISSU kaomba basi jua kwamba huwezi kutoka kusafiri mpk unapokuwa granted.na ukishapata status ya ukimbizi basi hutotakiwa kwenda kwenye ile nchi ambayo ulikuwa threatened na kama ukiamua kurudi basi suala la ulinzi wa maisha yako litakuwa juu ya nchi wenyeji wako (kwa maana hiyo lissu asingekuja Tanzania kwenye kampeni kama angekuwa ameomba ukimbizi).
Tufanye Lissu aliomba ukimbizi...kama lissu aliomba ukimbizi na kwa situation aliyokuwa nayo wkt anaingia belgium basi yeye kesi yake itakuwa imeamuliwa direct na watu wa uhamiaji wa Belgium bila kwenda mahakamani maana ushahidi wa kuwa threatened ulikuwa wazi sana. Kesi huwa inaenda mahakamani kama uhamiaji hawakuridhika na ushahidi wako kuwa upo hatarini huko ulipotoka.
Kwa kifupi ni kwamba umeunga unga story. Nipo Ueropa mwaka wa 12 najua mengi sana, kama kuna sehemu unataka maelezo zaidi niulize.
 
Ndo maana kaufyata.
uwenda serikali ilijua mapema ndo maana awakumpa vikwazo wakati anaondoka.
kuondoka kwake kama mkimbizi uwenda serikali ilijua fika ni kufuli yake ya mdomo wake mchafu wa kuropoka ovyo.
esabu zimeenda vizuri sana kwa serikali,ndani ya nchi kwasasa mambo safi kwakule Zanzibar na nje ya nchi kwa wakina Lissu pia mambo safi,keshapigwa kufuli.
 
Ok sasa alalamike ubeljiji hakuna uhuru na haki maana yeye anafikiri kufanya mtu atakavyo bila kujali sheria ndio uhuru na haki. Awaseme sasa wabeljiji kama hawajamtoa inya. Pumbafu amekua anatusumbua sasa kaingia cha kike. 😂😂
 
Mbna jana aliongelea mambo ya kariba na mbiona ailongelea kuhusi act kujiunga na CCM?
 
Mbona kapewa tuzo ya uanaharakati majuzi na kaipokea?
 
Huyo ni mahabusu tu,
Tofauti yeye analala chumbani
 
kama usemayo ni kweli basi mnyampaa kwisha habari yake!! uzunguni wabaguzi mno kazi zetu watu weusi ni manual tu hata uwe na PhD, bila msuli huwezi kula!! sasa jamaa ni mlemavu hawezi kubeba box huyu ataishi kwa upweke sana ndani kwake tu mda wote tena kwa pesa ya manispaa tu yenye masharti milioni na form elfu za kujaza kila mwezi ili upewe mpunga usiotosha kununua chochote zaidi ya msosi tu na watumishi kibao wa manispaa watakaokuwa wakimtembelea home mnyampaa daily kujustify pesa ya manispaa inaenda kihalali , ulaya hakuna jambo dogo!!watamsumbua mno mno mpaka atasali kuomba kurudi kijijini kwao bongo!!

siku si nyingi wazungu watamchoka mnyampaa maana hazalishi na wazungu hawataki mizigo na bahati mbaya mnyampaa keshakuwa tegemezi maana ni mlemavu nao watamwambia wewe bishoo rudi kwenu tumechunguza hatari ya kuuwawa kwako haipo!

wazungu hawana dini na hakuna Mungu kwao!!watamtema tu!!

Siku moja nikiwa natembea na mwanangu wa kiume mitaani , huyu yuko darasa la pili tu bongo ghafla akaniambia , unajua shetani anaishi huku!! nikacheka sana!! sikuuliza zaidi! sijui kijana wangu aliona nini tofauti na kwao!
 
Lissu kawashinda tena mbali mno - kwenye Kampeni kawafunika, kwenye kujenga hoja zinazokubalika kwa wananchi kawafunika, kummua vile vile mkashindwa - sasa imebaki kubwabwaja!! tushawazoea bila kumtaja Lissu siku haijaisha.
 
Hii habari wewe umeitoa wapi?
Thibitisha.
Maana ulichoandika hapa ni sawa mtu katoka kuota ndotoni tu
Hebu thibitisha.
Pia ninashaka wewe ni kabudi kwa mpangilio huu wa maneno mazuri yasiyo na ushahidi
 
Wakati huku ilikuwa aende bungeni asiende millioni 11 iko pale pale..ana mkopo usio na riba wa million 90 wa kununua gari..ana millioni 50 ya mfuko wa jimboni..kweli hakuna kama tanzania.
 
Au wangepindua kile kimtumbwi alichovuka nacho kwenda kisiwa cha ukerewe.
 
Hii habari wewe umeitoa wapi?
Thibitisha.
Maana ulichoandika hapa ni sawa mtu katoka kuota ndotoni tu
Hebu thibitisha.
Pia ninashaka wewe ni kabudi kwa mpangilio huu wa maneno mazuri yasiyo na ushahidi
Mkuu mbona sheria za wakimbizi wa kisiasa nchi za ulaya zinafahamika tu. Waweza ku Google sio mpaka utafuniwe. Ungekuwa uongo ungemuona Lissu au wafuasi wake leo asubuhi asubuhi wanaleta ushahidi kuwa ni uongo maana anshinda humu hana pa kwenda. Na Kuna kitu nilisahau kusema, kwa status yake ya Sasa hawezi kwenda nchi yoyote kwa muda usiojulikana.
 
Mbona kila siku namsikia Lissu kwenye youtube wewe unaishi dunia gani mleta mada???
 
Tofautisha "kuhojiwa" na "kufanya harakati"
 
Exactly , mleta mada ni Pimbi wa kutupa , anadhani humu wote ni mbumbumbu kama Lumumba , alicholeta mleta mada ni utopolo , hivi malumumba huwa Ni mazima kweli vichwani ? Uje udanganye mchana kweupe , utafikiri watu hawawezi kugoogle na kupata information . Zanzimana kaiharibu sana hii nchi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…