Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

Bwana wenu si awape vyeo ninyi kwanza! Au ninyi wakusifu na kumtukuza mungu wenu uchwara hamtaki mtolewe jalalani!?
 
Huwezi kuhua hivi hivi,!! Hivi hujui Kuna watu wanaangaika kuua kunguni?? Hata mbu kuua si Jambo la kawaida !!
 
Kwa uzuzu wake alijigamba alipokuwa anaondoka nchini kwamba uwanja wa mapambano ya kisiasa nchini Tanzania anauhamishia nchini Ubelgiji. Na mazuzu wengine waliamini na bado wanaamini hivyo.

Baada ya matusi yake hayo kwa taifa letu hatutamruhusu tena kukanyaga nchini kwetu. Kenya walifanya hivyo kwa Miguna Miguna aliyekimbilia Canada na kupata uraia wa Canada. Lissu na Lemma ndiyo mwisho wao umetimia.

 
Unaongelea Uzunguni ya mwaka gani?

Hujui tulia ... Acha stress na Mahaba uchwara.
 
So what ? Lissu tunajua alichopigania kwa maisha yake yote. Wewe je unapigania nini na mchango wako kwa nchi yetu ni upi?

I doubt if you have moral and intellectual authority to question the intelligence of Lissu
Hiyo status ya kisheria siyo kwa Lissu tu bali ni kwa wote wanaokuja nchini humo kama alivypkuja yeye hata hapa kwetu ukazi nchini wa Watutsi wakimbizi wa Rwanda ni tofauti na ule wa Watutsi wa Chato. Baada ya muda mfupi Lissu atapata kibali cha kufanya kazi lakini kwa kuwa ni mgeni hataruhusiwa kujihusisha na siasa za nchi ile. Wapigania Uhuru wa Kusini mwa Afrika walikaa nchini miaka mingi wakifanya siasa za kwao na wakipambana na wahasimu wao lakini hawakuruhusiwa kujihusisha na siasa za Bongo.
 
Lissu amepigania haki katika nchi hii milima na mabonde anayopitia sasa nikwasababu ya kutaka kuwakomboa watanzania.Ninachoamini kazi hajaimaliza akimaliza Kaz atavalishwa taji ni swala la muda tu.
 
Ikiwa hivyo wewe unafaidika na nini hapo?
 
Na akikiuka hayo masharti ataishi kama "deiwaka" wa Bongo! Mwisho wa siku atarudi choka mbaya kama mwananchi wa kijijini kwetu Chifule!! Ahahahahahahahah!!!
Njoo Tegeta angalia Appartment zake
 
Satanic verses.
 
Wewe ndiyo mpumbavu.
 
Naona Tundu Lisu anaendelea kupiga nyundo huko Majuu akieleza aina ya Tanzania tunayotakiwa kuishi.

Tanzania ya utu si Tanzania ya vitu, Tanzania ya sheria si Tanzania ya mtu. Nchi ambayo umri uliopewa kuishi hauingiliwi na kupunguzwa na mtu. Nchi ambayo uhai haulinganishwi na kitu kingine chochote wala aubadilishwi na kitu chochote.

(2020 was a difficult year for democracy in Africa, including in #Tanzania. But @TunduALissu reminds us that there is hope. "We have survived the Magufuli dictatorship. We were supposed to be completely down and out. We are not." Lisu)

Je wale waliotuambia kuwa amenyamazishwa na wakaleta taarifa na vifungu vyao vya sheria wanamchukulia hatua gani huyu mtu ambaye anyamazi Kama Asylum na Refugee tulioaminishwa hapa Jf?

Au sisi Wana CCM tunajua zaidi ya sheria za kimataifa kuliko Mataifa?
 
Hivi we we kipindi kile cha kampenii alipaswa hata kampenii asifanyee, matokeo yake amekiachia chama mbunge mumojaà. Kiufupi Mimi napendekeza baada ya ajaliii ile kubwa na mbaya, alipaswa apumuzike kwanza ili akili itengamaeee
 
Hivi we we kipindi kile cha kampenii alipaswa hata kampenii asifanyee, matokeo yake amekiachia chama mbunge mumojaà. Kiufupi Mimi napendekeza baada ya ajaliii ile kubwa na mbaya, alipaswa apumuzike kwanza ili akili itengamaeee
Amekiachia chama mbunge mmoja kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Amekiachia chama mbunge mmoja kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Akiwemo yeye alikuja kujionyesha kwa ujinga wake na jinsia moja, kisha akalala mbele kurudi alipokuwa baada ya maonyesho kwisha,
Nadhani yeye ndo alikuwa mjinga na wafuasi wake walioshiriki maonyesho huku wakijua hayana maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…