Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

Mtu akikaribia kufa lazima atapetape!
 
Amekiachia chama mbunge mmoja kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Maonyesho ya Ujinga wa mtu mweusi kwenye boksi la kura. Dah wapinzani mna maneno hatari
 
Akiwemo yeye alikuja kujionyesha kwa ujinga wake na jinsia moja, kisha akalala mbele kurudi alipokuwa baada ya maonyesho kwisha,
Nadhani yeye ndo alikuwa mjinga na wafuasi wake walioshiriki maonyesho huku wakijua hayana maana.
Hapo sasa naona mmeunda makao makuu ya wajinga na wapumbavu dunia. Hoja za kufikirika.
 
MATAGA mlisema Lissu kafungwa mdomo, vipi tena au anaruhusiwa kuandika tu sio kuongea?!

#mtataga
 
Hili ni jukwaa la great thinkers mbona matusi kibao? Hoja hujibiwa kwa hoja matusi hayasaidii chochote jamani
 
Hivi we we kipindi kile cha kampenii alipaswa hata kampenii asifanyee, matokeo yake amekiachia chama mbunge mumojaà. Kiufupi Mimi napendekeza baada ya ajaliii ile kubwa na mbaya, alipaswa apumuzike kwanza ili akili itengamaeee
Amekiachia chama mbunge mmoja au nyie MATAGA ndio mmewawapa mbunge mmoja na sasa mnajaribu kurubuni wanawake wao wa viti maalum .Akili zenu ni kama jina lenu tu Chama cha matahahira
 
Ninachokupendea huandikagi matusi!
 
So what ? Lissu tunajua alichopigania kwa maisha yake yote. Wewe je unapigania nini na mchango wako kwa nchi yetu ni upi?

I doubt if you have moral and intellectual authority to question the intelligence of Lissu
Lisu ni bogus tu, hana lolote ataozea Belgium na atarudi kama Kambona alivyofanya, historia huwa inajirudia. Tanzania inasonga mbele haibabaiki na makuwadi wa wazungu.
 
Wacha kudanganya watu , hayo uliyoyaandika kakuambia shoga mwenzako Lugola au uliyaokota wapi?
 
Amekiachia chama mbunge mmoja au nyie MATAGA ndio mmewawapa mbunge mmoja na sasa mnajaribu kurubuni wanawake wao wa viti maalum .Akili zenu ni kama jina lenu tu Chama cha matahahira
Wewe unaweza rubuni makamanda kwelii??
 
Mshindi wa uchaguzi mkuu 2020.
TUNDU LISSU.

shetani alijichapishia kula FEKI.
Mshindi wa uchaguzi mkuu wa USA 2020 ni Donald J Trump! Mwaka 2020 umetuachia historia nzuri sana kwenye siasa za uchaguzi
 
Amekiachia chama mbunge mmoja kwani kulikuwa na uchaguzi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Halima kawauliza kwani lini tuliwahi kuwa na UCHAGUZI? Hadi leo kamati kuu haijamjibu
 
Hii ndio Aina ya Mtanzania asili yake ni ujinga uliokithiri umasikini roho mbaya na kutokufiria anaandika au anasema nini

Sasa unataka tufanyeje kwa hii thread yako nini kifanyike???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…