Molinga falcao kusajiliwa na timu kubwa ya Zesco ni aibu kwa ma scout wa Yanga. Mkwassa hii ni aibu kubwa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Papaa molinga yanga wamemsema sana.. ila timu kubwa ya zesco imeamua kumsajili..

Ikatokea molinga akafanya vizuri zesco.. scout wa yanga pamoja na viongozibmkwassa na msolla watawajibika yanga.

Mimi kama mwanayanga sitawaelewa milele..

Maana Kalinyo yule nahisi tumepigwa.

Naona wote mmeandika kwa mihemuko na sio kiuana michezo. Anyway hata Man Utd walishawahi kumsajili Bebe, Madid wamemsajili Jovic, Barca wakamsajili Braithewaite na kadhalika.

Eti klabu kubwa imemsajili Molinga [emoji23]
 
Molinga na kaseke nani ana afadhali.. yanga ina upuuzi sana... molinga ametuokoa mara ngapi? Katika mechi chache alizopangwa. Na kwa nini mkwassa alikuwa hampangi? Na hataki hapangwe
 
Papaa molinga yanga wamemsema sana.. ila timu kubwa ya zesco imeamua kumsajili..

Ikatokea molinga akafanya vizuri zesco.. scout wa yanga pamoja na viongozibmkwassa na msolla watawajibika yanga.

Mimi kama mwanayanga sitawaelewa milele..
Kwani hao uliowataja walizaliwa Yanga! Waende huko wakapambane kivyao!
 
Mimi Kwangu Molinga Hapana Hata Huko Alikoenda Afunge Magoli Mia Ila Hakuna Player Pale.

Mchezaji Hawezi Kukimbia kila offside yeye yumo.
Akili za mashabik wa Yangai na viongozi wao zinafanana. kwahiyo mfungaji bora wa Yanga ambaye ndiye kaisaidia Yanga mnamuona hana lolote, lakini Nchimbi anayekimbia kimbia uwanjani bila faida yoyote hata magoli matano hajafikisha mnamuona wa maana.
 
Nchimbi, kaseke, hamnakitu kabisa.. molinga ndie katufanya tumepata nafasi ya pili

na usajili wa Kalinyo ule muda utaongea tu
 
Naona wote mmeandika kwa mihemuko na sio kiuana michezo. Anyway hata Man Utd walishawahi kumsajili Bebe, Madid wamemsajili Jovic, Barca wakamsajili Braithewaite na kadhalika.

Eti klabu kubwa imemsajili Molinga [emoji23]
Sasa na ww ndio UMEANDIKA NN? Nonsense!
 
Sasa na ww ndio UMEANDIKA NN? Nonsense!
Kama huelewi unaomba msaada kwa maana naelewa humu JF siyo wote ni wazima kiakili kama wewe.

Ngoja nikueleweshe sasa kama kuna kitu unafanya acha kwanza maana kwa akili yako utachanganya ns hutanielewa tena.

Nimezitaja hizo timu na hao wachezaji waliosajiliwa nikiwa namaanisha mchezaji kusajiliwa timu kubwa haina maana ataperform au timu iliyomuacha haijui kutafuta wachezaji wazuri kulingana na kauli ya mleta mada. Ndio maana nikazitaja hizo timu kubwa zimewasajili wachezaji wazuri lakini wameshindwa kupeform so hichohicho kitu kinaweza tokea kwa Molinga yawezekana akang'aa zaidi au akapotea zaidi. Mfano Coutinho huyu wa Liver sikuamini angeenda kuwa vile Barca lakini kaenda Bayern amewasha moto balaa. Luca Jovic kabla ya kusajiliwa Madrid hakuna asiyemfahamu lakini leo hii ameshindwa pale Bernabeu mpaka anataka kutolewa kwa mkopo.

Kuondoka kwa Molinga tusiitupie lawama YANGA pekee tujaribu kuangalia pande zote mbili yawezekana hawakuridhishwa na kiwango chake, yawezekana ni sababu za maslahi binafsi, yawezekana ikawa ni mazingira ya club hayakumridhisha mchezaji mwenyewe zipo sababu nyingi tu. So tujaribu kuwa neutral na kuchunguza jambo kwa umakini zaidi.
 
Akili za mashabik wa Yangai na viongozi wao zinafanana. kwahiyo mfungaji bora wa Yanga ambaye ndiye kaisaidia Yanga mnamuona hana lolote, lakini Nchimbi anayekimbia kimbia uwanjani bila faida yoyote hata magoli matano hajafikisha mnamuona wa maana.

Sikiliza wewe jamaa. Gharama za kumuendesha mchezaji wa nje na ndani ni tofauti na kuliko kumlipa pesa molinga better mtafute mtu atayekupa kitu cha maana kwa pesa ilele.

Molinga usimlinganishe na Nchimbi wala kaseke, mlinganishe na watu waliokuja kumreplace i.e Sarpong.

Next time deal na mambo ya timu yako achana na timu isiyokuhusu.
 
Nchimbi, kaseke, hamnakitu kabisa.. molinga ndie katufanya tumepata nafasi ya pili

na usajili wa Kalinyo ule muda utaongea tu

Kwahyo Molinga alikua anacheza peke yake ?

Mchezaji chance 6 unapata 2 au 1. Wakazi gani
 
Tatizo la washabiki hatutaki kuusikia ukweli, na mtu akiongea uhalisia basi ataonekana kuwa ni mtu wa upinzani. Molinga ndiye mchezaji aliyeisaidia Yanga kupata matokeo na kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi.

Mimi sikumlinganisha Molinga na Nchimbi bali nimeshangaa sana kitendo cha kumbakiza Nchimbi ndani ya klabu wakati hakuonesha msaada wowote ule ndani ya Yanga wakati aliyetoa msaada kwa asilimia kadhaa kwa Yanga kaachwa.

Umesema nimlinganishe Molinga na mchezaji wa maana aliyechukua nafasi yake je Unaweza kuniambia mpaka sasa huyo mchezaji aliyechukua nafasi ya Molinga kafanya nini cha maana zaidi?
 
Mchezaji aliyechukua nafasi yake alifanya tuepuke aibu ya kufungwa na prisons.
Mikimbio yake skills zake kujiamini kwake unaona ana kitu kuliko molinga wako.... Ndio kwanza ana mechi 3 hata huyo molinga hakuanza kufunga alivyofika tu nchini. So relux
 
Lakini pia Nchimbi ana mkataba na Yanga huyo Molinga hakua na mkataba na Yanga (yaani uliisha)

Na Nchimbi ni Mtanzania pamoja na wengine wakitanzia ie kaseke wakati Molinga ni Mcongo basically hata km hajui kitu gharama za kumuendesha ni tofauti na hao.
 
kwani Molinga hajawahi kunusuru kupata aibu? Huyo Sarpong hujaona akipiga vishuti vya kitoto vikidakwa kiurahisi tu na kipa? Hujaona akifanya maamuzi ya kupiga vijishuti golini wakati alikuwa na uwezo wa kutoa pasi kwa mwenzie?

Sawa anakitu, ngoja tuendelee kusubiri kukiona hiko kitu.
 
Mbna unamshupalia sana Molinga bro ? Mshabikie huko aliposajiliwa nadhani atakupa kile unachokitaka. Sisi tuache tumeona hana jipya atakalotupa.
 
Tusiwalaumu sana Yanga jamani, Usajili wa Wachezaji kwenye soka una Mauzauza ambayo mimi na wewe hatuwezi kujua yanatoka wapi. Nani aliwahi kuwaza kwamba TP MAZEMBE wangemuacha Deo Kanda wakamsajili Ramadhan Singano!
Hawa Mawakala wa Wachezaji wana siri kubwa sana na Ni aina Nyingine ya Ufisadi katika Sokka.
 
Kwahyo Molinga alikua anacheza peke yake ?

Mchezaji chance 6 unapata 2 au 1. Wakazi gani
ila mchezaji ambaye hajafikisha hata mechi 10 na hachezeshwi dk 90 na ana magoli 10 ni mchezaji mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…