Molinga falcao kusajiliwa na timu kubwa ya Zesco ni aibu kwa ma scout wa Yanga. Mkwassa hii ni aibu kubwa

Molinga falcao kusajiliwa na timu kubwa ya Zesco ni aibu kwa ma scout wa Yanga. Mkwassa hii ni aibu kubwa

Mchezaji aliyechukua nafasi yake alifanya tuepuke aibu ya kufungwa na prisons.
Mikimbio yake skills zake kujiamini kwake unaona ana kitu kuliko molinga wako.... Ndio kwanza ana mechi 3 hata huyo molinga hakuanza kufunga alivyofika tu nchini. So relux
Vipi mzunguko wa kumi na moja sasa katika ligi kuu Tanzania bara. Bado imani yako inaamini Sarpong ni bora zaidi ya Molinga?
 
Vipi mzunguko wa kumi na moja sasa katika ligi kuu Tanzania bara. Bado imani yako inaamini Sarpong ni bora zaidi ya Molinga?

Molinga alipaswa kubaki...sarpong nguvu nyingi kuliko akili.. hajui hata kujiposition
 
Back
Top Bottom