Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Vipi mzunguko wa kumi na moja sasa katika ligi kuu Tanzania bara. Bado imani yako inaamini Sarpong ni bora zaidi ya Molinga?Mchezaji aliyechukua nafasi yake alifanya tuepuke aibu ya kufungwa na prisons.
Mikimbio yake skills zake kujiamini kwake unaona ana kitu kuliko molinga wako.... Ndio kwanza ana mechi 3 hata huyo molinga hakuanza kufunga alivyofika tu nchini. So relux