Usiwe na wasiwasi kaka. Mimi si mzinifu na siwezi haribu ndoa za watu.
Umefanya kosa kubwa sana kuanika ufukara wako hadharani. Hilo basi ndilo ulipanda pamoja na familia? You could have hired a taxi man. Nina wasiwasi uliomba malazi wewewewe hukai kwa hoteli
Hahaha, Kwani nimekwambia ukuje kwa Zinaa? Ni mambo ya Kawaida tu mama,
Hata Hivyo huwa siendekezi marafiki nikienda out na Mke wangu kama hivi, ndio maana nimekwambia kama nikija nitakwambia ukuje tupate walau Tusker,
Halafu tambua Game over ni Ni mtu mwenye nafasi yake, Hawezi fikia kwenye nyumba ya Mkenya,
Pili Familia yangu ni Kitu pekee chenye thamani zaidi kwa Game Over, Kamwe siwezi safiri ikiwa sina bajeti toshelezi kwa ajili ya matumizi.
Tumesafiri kwa Basi (tahmeed)
Halafu sioni hizo Taxi Mombasa, naona Za miguu mitatu tu yaani Bajaji, Actually Mombasa is a very disorganized place av ever travelled, Imagine wakati wote imebidi receptionist atuitie uber kila tukitoka, Thanks walau Mombasa pana Uber hapa mmenifurahisha..
Kuhusu usafiri wa Umma, mabasi yote ya mikoani hapa Mombasa ni Kuukuu kama hilo hapo la Nairobi,
Hata hii hotel tumefikia sio ya Mkenya, Ni mali ya Muzungu. nyie mnachoweza ni Kuzungumza Kingereza pekee.