Mombasa City Bus Terminal..

Mombasa City Bus Terminal..

Jamaa mmoja ananiambia Tahmeed bus ni Luxury,
Hawa jamaa ni Kama vile vitu vizuri hawavijui bado, Ukiangalia hata namna wanajenga nyumba zao ni kama hawafanyi finishing za Kisasa.
tahmeed labda hko kwenu ndio anawaletea vituko...tafuta vip mombasa nairobi upande
 
Hiyo jamaa hakuwa Mombasa na hizo picha si zake pia. I doubt hata kama ni picha za hii mwaka.

1d9b1690-1d1a-476c-8335-1990e0db8781.jpg

Kuna mwenzako mmoja anasema Tahmeed ni Luxury,
That 2000ksh from Dar To Msa ni Nauli ya Kupanda Laxury bus Kama Shabiby from Dar to Dom,
Google hapo Shabiby Luxury uone maana ya Luxury bus, Sio hizo madude
 
Wewe ulipanda gari ya wasioweza . Tahmeed is 1800 from Nairobi to Mombasa, kuna ya 1500 na pia 1300 kulingana na uwezo wako. So kulingana na ticket yako I can judge your pocket prowess.
View attachment 1095094
Kuna mwenzako mmoja anasema Tahmeed ni Luxury,
That 2000ksh from Dar To Msa ni Nauli ya Kupanda Laxury bus Kama Shabiby from Dar to Dom,
Google hapo Shabiby Luxury uone maana ya Luxury bus, Sio hizo madude
 
Wewe ulipanda gari ya wasioweza . Tahmeed is 1800 from Nairobi to Mombasa, kuna ya 1500 na pia 1300 kulingana na uwezo wako. So kulingana na ticket yako I can judge your pocket prowess.

Hata hivyo Game over is not a rich man, Don’t stress yourself kwa kipato cha Game over, though I can feed hungry friends..
2000 is the Maximum class for That Bus company I travelled with, They said there are 1500ksh for the same buss depending on the Position though Hatukuona tofauti ya hizo siti.
Nje ya Mada, Huo mji wa Mombasa ni Very Disorganized . Mnaishi kama Nguruwe wasee
 
Tatizo wakenya ni washamba sana hawa wasanii waliofulia Tanzania hata hakuna watu wenye habaei nao wakija huko ni lulu,
Watanzania ndio washamba sijapata kuona. Lazima mtangaze mkienda mahala hadi mnafungua Uzi? Seriously? Watu wapo nje ya afrika lakini hutawaona wakijigamba humu.Grow up!
 
Swala la slum nairobi siwezi bisha kaka,lakini ndani yako unajua zina occupy sehemu ndogo sana nairobi.....nairobi western suburbs zina cover almost 60% ya nairobi,toka hapo enda eastlands..hii ni high density area ya middle class..most nairobians live here....bila ushabiki na utoto..mitaa mingi 80% hapo dar ni vijiji tu....ila hali si duni kama kibera.actually mombasa na dar hazina tofauti vile....lakini angalau mombasa imepangika hapo cbd...ile kitu tu dar imepiku mombasa ni glass towers na brt.
 
huyu jamaa kaumbuka...kapanda basi cheap kuja mombasa mazee...alafu kaja kutupigia picha stage ya chania,executive,genesis....

bro umeji expose vibaya sana leo...atasema tangia avuke ferry kaone apige picha stage ya chania...na sidhani bro km uko nyali...na wala hta bamburi hupawezi..kw hali hyo..we ligi yako ni uswazi tu..bwahaaaa
Sawa cheap but siinaenda mombasa??
 
kilicho mbna unaweweseka..mwenzako kasema kapitia likoni ferry..picha za kutoka ferry hadi mwembe ziko wapi...bwahahaaa..huyu jamaa yupo uswazi jatulia tu...akiniletea picha za kutoka ferry hadi mwembe na log out jf...
hyo bila shaka kapagawa na view..akaona wivu kupiga picha afungue uzi...sasa kw uchawi wake kaona apost picha za chania cool...bwahahaaa...utaweweseka sana..alafu ile picha ya mwisho uliipiga ukienda wapi...manake ulisema umeenda nyali..ulifikaje mpka ukapitia hyo barabara ya sargoi
 
Pesa zako ni za Chania my friend, you can't afford Tahmeed. In fact Tahmeed is better than all your buses.View attachment 1095083View attachment 1095090

I am a very humble man but let me tell you this wewe ni Level ya chini sana,
Nimeshasafiri na Airlines kubwa duniani, Nimeenda hadi Ujerumani na Uturuki,
Kuanza kunivuta kwenye Level za buses ni kutaka kuniweka kwenye level moja na wewe,
Hatufanani mkuu, Ndio hivyo.
Kusafiri kwa Basi ni Umuzi tu ningeweza hata kusafiri kwa kq ningetaka,
 
Nikafanye nini huko?
Actually if I was to go, the plan was to Go via Train, SGR until my very beautiful wife declined it as she wasn’t pleased with our stay in Mombasa.
Sawa kwa hivyo wife anaprefer T.Z kushinda Nairobi? Amewahi fika Nairobi?
 
Wewe bwege nimekuja kwa pesa yangu nimekaa hotelini, Nimekula bata na kurudi sijakaribishwa na Mkenya, hakuna mkenya anayeweza mkaribisha mtu, Nyie somo la ukarimu lishapitaga kushoto, Uncivilized fellas,
Umefika Mombasa sasa wajidanganya umefika Kenya? . Hujawahi sikia pwani sio Kenya . Anyway Mombasa is more developed than all your cities except DAR
 
huyu jamaa kaumbuka...kapanda basi cheap kuja mombasa mazee...alafu kaja kutupigia picha stage ya chania,executive,genesis....

bro umeji expose vibaya sana leo...atasema tangia avuke ferry kaone apige picha stage ya chania...na sidhani bro km uko nyali...na wala hta bamburi hupawezi..kw hali hyo..we ligi yako ni uswazi tu..bwahaaaa
Shida sio stage ya chania, kwan cheap buses zinaingia stage za ovyo? Tena sio stage ile sasa sijui kuiita stage ya chania mlitumia kigezo kipi?
 
Back
Top Bottom