komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
tahmeed labda hko kwenu ndio anawaletea vituko...tafuta vip mombasa nairobi upandeJamaa mmoja ananiambia Tahmeed bus ni Luxury,
Hawa jamaa ni Kama vile vitu vizuri hawavijui bado, Ukiangalia hata namna wanajenga nyumba zao ni kama hawafanyi finishing za Kisasa.