Umewaweza kweli wakenya Leo hadi monkey jenerose katukana matusi baraaa endelea kutuletea mipicha ya Kenya wao hua wanapost passport na kusema wanakuja dar wataonyesha picha za dar cha kushangaza wakija dar wanashindwa kupost picha wala kuleta mrejesho wowote hiyo inaashiria kuwa wameikubali dar kuwa baba lao wakina MK254 wanasema wameishi dar mbona wanashindwa kupost picha za kuiponda darSome random streets in Mombasa City.
View attachment 1094477
No the problem is not camera the problem is " li nchi lenu chafu na kusababisha picha ziwe kama chafu linchi linanuka maviii kila pahara ndiyo maana wode Maya alipokuja Tanzania wakenya wakaanza kumwambia camera yake imeimpruvu kuliko aliyokuwa anatumia Nairobi mwenyewe akawaambia camera ni ile ileinvest in a camera bro
No the problem is not camera the problem is " li nchi lenu chafu na kusababisha picha ziwe kama chafu linchi linanuka maviii kila pahara ndiyo maana wode Maya alipokuja Tanzania wakenya wakaanza kumwambia camera yake imeimpruvu kuliko aliyokuwa anatumia Nairobi mwenyewe akawaambia camera ni ile ile
Sasa wewe jiulize kama sura yako mbaya inabidi utafute camera ya hali ya juu angalau uimprove mwonekano ndiyo maana Kenya wakatumia 4k drome Kwa ajili ya Nairobi na wakiona picha nzuri za bongo wanaanza kuuliza kama ni drome ya Kenya imetumika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Camera imeimprove.
Hahaaa bro, dont tell me we need 4k camera for mombasa to look so great[emoji23][emoji23]invest in a camera bro
Umewaweza kweli wakenya Leo hadi monkey jenerose katukana matusi baraaa endelea kutuletea mipicha ya Kenya wao hua wanapost passport na kusema wanakuja dar wataonyesha picha za dar cha kushangaza wakija dar wanashindwa kupost picha wala kuleta mrejesho wowote hiyo inaashiria kuwa wameikubali dar kuwa baba lao wakina MK254 wanasema wameishi dar mbona wanashindwa kupost picha za kuiponda dar
Kha! Mbona ukaamua kupost negative pekee si unge post na hotel unayokaa .hater!
Halafu hujasema ulienda kufanya nini huko ungebaki huko paradiso yenu kama Mombasa hakukupendezi
Na hapo bado hawafiki hata 2m wanashindwa nn jiulizeUle mji ni Mchafu sana aisee,
Mwaka jana nlienda kikazi sikuweza zunguka mjini, mji unanuka kinoma,
Usiwe na wasiwasi kaka. Mimi si mzinifu na siwezi haribu ndoa za watu.Hahahaha, Unataka ukuje mama? This time niko na wife, Hope next time ntakucheki nikija, Nipo maeneo ya Nyali.
Usiwe na wasiwasi kaka. Mimi si mzinifu na siwezi haribu ndoa za watu.
Umefanya kosa kubwa sana kuanika ufukara wako hadharani. Hilo basi ndilo ulipanda pamoja na familia? You could have hired a taxi man. Nina wasiwasi uliomba malazi wewewewe hukai kwa hoteli
Naona unaelekea Nairobi.Pictures taken by Me today Morning during My dispatch,
View attachment 1094470View attachment 1094471View attachment 1094472View attachment 1094473
Naona mambo ya mido inkamu inakunyima usingizi sana, wacha tujiite LDC angalau kwa siku ya leo ili angalu ushushe presha ya damu.This is the Upcountry bus terminal in the 2nd Largest City in Middle Income Country, Kenya
View attachment 1094476