Mombasa City Bus Terminal..

A failed state for sure
 
Weka picha acha kelele za kike
 
Sawa, Ila Kumbuka kibera pekee (slum kubwa zaidi Duniani) inakaliwa na Wakazi milioni Tano unusu, Haani 60% ya wakazi wa Nairobi,
Nyie wengine sijui mmejaa kwenye slums nyingine za Mathare, Huruma, Kalio bangi, Korogocho, Githurai, N.k
Hahahahahah nimeishia kucheka sana aisee


Huyu jamaa anakaa slum ya korogocho nyumba ilijengwa kwa bati toka juu hadi chini .
 

Dah, Pole sana mkuu, umeugua homa ya Dengue? Umetibiwa wapi ungenistua ningekusaidia.
 
yani umekuja mombasa na leo tayari umesharudi..si wewe umesema uko nyali mbeleni brother...hv umesharegea dar tayari...
bwahahaaa...leo naona hoja imekubana...lete picha za kutoka ferry hadi mwembe...
 
Na wametokwa mapovu kwelikweli, Hadi jenerose Mzalendo amenitukana leo[emoji2][emoji2][emoji2]
kwani brother umepiga picha tatu tu.....vp hukuingia kw hyo mall hapo pembeni angalau hyo shemeji apate kinywaji...

lkn tunataka picha za hyo slum ya mombasa pia...au dhamira lako ilikuwa ni kutafuta mahali penye kidogo pamechapa ndio upost...tupia basi hta za ferry
 
hhhhh...naona ni mbovu km vile tandale...bwahahaa..watanzania yani wako makundi mawili...kuna wale wafuasi wa wasukuma yani wao ni kuisifu serikali na kuiponda kenya..kuna wengine wafuasi sijui wa nani vile..kazi yao ku
iponda serikali na kuisifu kenya...

wakenya wenzangu..ukitaka kujionea tafuta mfuasi wa chadema na wa ccm...yani uanze kuwauliza maswali kuhusu kenya...wa chadema atakusifia kenya na kuichakaza nchi yao vibaya sana..na ccm atakupondea kenya na kuipaisha tanzania kwel...
na si uongo..niko na jamaa wangu wa kutoka moshi anasifu kenya kinoma..kila tukitoka hutoa mfano na kwao...huduma zenu bora sana..mara nn mara kile..


sasa msela wangu kaja na rafiki yake mbongo...tuko ferry pale na gari letu tunasubiria tuvuke wenyewe tunaenda ukunda kula bata...jamaa alipoona watu wanakimbilia ferry ili wawahi,na wengine kusukamana..nakwambia mtu wa watu kapaka hadi wacha..mara ndo manake trump katudharau...wakenya nyinyi si wa staarabu..jamaa tumeuchubua tu tunausikiliza umbea wake
 
Dah, Pole sana mkuu, umeugua homa ya Dengue? Umetibiwa wapi ungenistua ningekusaidia.

Asante ila kabla nijue ni Dengue doctor alikua ananipa matibabu ya Malaria, ndio mshikaji fulani akshauri nicheck Dengue, tatizo vituo vyenye vifaa vya kupima ni vichache, nilizunguka sana, hatimaye nikabahatika kufaulu pale Kisutu kuna kituo cha mhindi kinaitwa Ibrahim Haji centre, hapo ndio nilipatikana na Dengue.
Ngoma ikawa kwamba Dengue haina dawa, yaani kunywa maji mengi meza panadol basi, wiki imeisha napitia mtihani wa kijehanamu, pressure ikashuka noma, ila nimepona lakini hiyo homa hapo hatari halafu imezagaa Dar, kwanza maeneo ya Magomeni.
 
Hiyo jamaa hakuwa Mombasa na hizo picha si zake pia. I doubt hata kama ni picha za hii mwaka.
Swali ni hili,picha ni za mombasa au sio za mombasa,kama si za mombasa tuonyeshee city bus terminal ya mombasa
 
Mnashika namba 3 duniani kwa watu wanaoishi kwenye slums hlf unasema 60% ya nairobi middle income!
 
Mombasa has road that Tanzania is yearning to have. No road like this anywhere in Tz.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…