Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Siku ukija dar nitafute uje kupunga upepo hapo,ni km 13 toka town nje kabisa ya mji lakini watu nyumba wanazotoa si za gharama kihivyo ila zimepangiliwa kiuhakika sio kama huo uchafu wenu wa kiberaHaka kadude kanamuonekano mbaya namna gani? Kuja Karen ujionee maajabu ya Musa
Mbona sioni choo huko ndaniPesa zako ni za Chania my friend, you can't afford Tahmeed. In fact Tahmeed is better than all your buses.View attachment 1095083View attachment 1095090
Flying toilet in motion!Mbona sioni choo huko ndani
endeleeni kulialia...Middle income my foot dadadekView attachment 1095604
Pole brotherAsante ila kabla nijue ni Dengue doctor alikua ananipa matibabu ya Malaria, ndio mshikaji fulani akshauri nicheck Dengue, tatizo vituo vyenye vifaa vya kupima ni vichache, nilizunguka sana, hatimaye nikabahatika kufaulu pale Kisutu kuna kituo cha mhindi kinaitwa Ibrahim Haji centre, hapo ndio nilipatikana na Dengue.
Ngoma ikawa kwamba Dengue haina dawa, yaani kunywa maji mengi meza panadol basi, wiki imeisha napitia mtihani wa kijehanamu, pressure ikashuka noma, ila nimepona lakini hiyo homa hapo hatari halafu imezagaa Dar, kwanza maeneo ya Magomeni.
17km long...acha aibu ndogo ndogoMombasa has road that Tanzania is yearning to have. No road like this anywhere in Tz.
17km long...acha aibu ndogo ndogo
Tuna zaidi ya 12453km zote pavedNyinyi hata Hanna meter moja ya barabara kama hiyo.
Uwiiii THANK YOU!Pictures taken by Me today Morning during My dispatch,
View attachment 1094470View attachment 1094471View attachment 1094472View attachment 1094473
Tuna zaidi ya 12453km zote paved
Jipe moyoPaved roads of low quality. Show me a quality road like that one in Mombasa.
Huna lolote dengue umetoka nayo kibera slumAsante ila kabla nijue ni Dengue doctor alikua ananipa matibabu ya Malaria, ndio mshikaji fulani akshauri nicheck Dengue, tatizo vituo vyenye vifaa vya kupima ni vichache, nilizunguka sana, hatimaye nikabahatika kufaulu pale Kisutu kuna kituo cha mhindi kinaitwa Ibrahim Haji centre, hapo ndio nilipatikana na Dengue.
Ngoma ikawa kwamba Dengue haina dawa, yaani kunywa maji mengi meza panadol basi, wiki imeisha napitia mtihani wa kijehanamu, pressure ikashuka noma, ila nimepona lakini hiyo homa hapo hatari halafu imezagaa Dar, kwanza maeneo ya Magomeni.