Mombasa City Bus Terminal..

Mombasa City Bus Terminal..

Haka kadude kanamuonekano mbaya namna gani? Kuja Karen ujionee maajabu ya Musa
Siku ukija dar nitafute uje kupunga upepo hapo,ni km 13 toka town nje kabisa ya mji lakini watu nyumba wanazotoa si za gharama kihivyo ila zimepangiliwa kiuhakika sio kama huo uchafu wenu wa kibera
received_1091687000998018.jpeg
received_331028601044597.jpeg
 
Mimi mpaka leo huwa sielewagi inakuwa vp wakenya wanatangazwa wana uchumi wa juu kuloko sisi while tunawapita kwa karibia kila kitu
 
mgagaa..hemu nipe link ya hao jamaa wa hyo list nikajosomee..au ni hyo screenshot..manake kw mipasho tu hamjambo...
au nao pia wame copy paste za WB alafu wakachanganya na akili zao
 
Asante ila kabla nijue ni Dengue doctor alikua ananipa matibabu ya Malaria, ndio mshikaji fulani akshauri nicheck Dengue, tatizo vituo vyenye vifaa vya kupima ni vichache, nilizunguka sana, hatimaye nikabahatika kufaulu pale Kisutu kuna kituo cha mhindi kinaitwa Ibrahim Haji centre, hapo ndio nilipatikana na Dengue.
Ngoma ikawa kwamba Dengue haina dawa, yaani kunywa maji mengi meza panadol basi, wiki imeisha napitia mtihani wa kijehanamu, pressure ikashuka noma, ila nimepona lakini hiyo homa hapo hatari halafu imezagaa Dar, kwanza maeneo ya Magomeni.
Pole brother
 
duh...huyu jamaa muongo kwel...kwhyo picha ya executive hyo michuma hamna...na kuna drainage...bwahahaa...i was there yesterday katika mizunguko yangu...jamaa kumbe lirongo...limetoa picha mitandaoni sijui za lini..leo km nitapitia nitapiga picha...lazima nikuumbue na longo longo zako
 
Uwiiii THANK YOU!
I was there once nikasema hii ndo Mombasa niliyokuwa natamani sana kwenda au kuna nyingine

Acha tu mkuu,
Hawa ndugu wana kelele mobu halafu ukienda Kwa Grounds hamna kitu, Nimeshangaa sana pia
 
Kenya most towns ni magofu..!! Kuchafu and mijengo ya old sana.. Watu sura mbaya, usafi hakuna..!!
 
Asante ila kabla nijue ni Dengue doctor alikua ananipa matibabu ya Malaria, ndio mshikaji fulani akshauri nicheck Dengue, tatizo vituo vyenye vifaa vya kupima ni vichache, nilizunguka sana, hatimaye nikabahatika kufaulu pale Kisutu kuna kituo cha mhindi kinaitwa Ibrahim Haji centre, hapo ndio nilipatikana na Dengue.
Ngoma ikawa kwamba Dengue haina dawa, yaani kunywa maji mengi meza panadol basi, wiki imeisha napitia mtihani wa kijehanamu, pressure ikashuka noma, ila nimepona lakini hiyo homa hapo hatari halafu imezagaa Dar, kwanza maeneo ya Magomeni.
Huna lolote dengue umetoka nayo kibera slum
 
Back
Top Bottom