Mombasa City Gallery

Tulikuja na tukakaa siku mbili. Nilimwambia mbongo mmoja humu kwamba tz is a beautiful country but developmentwise mpo nyuma japo mnakimbiza Kenya
Ulifikia wapi...tupe uzoefu wako wa hizo siku mbili..hata ivyo mwaka huu ntazuru Kenya Ni kipindi gani kizuri cha kufika uko,sipendi baridi kali..natazamia kufika NBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu Kenya. Kama hupendi baridi basi zuru Mombasa.
BTW nimeona mtz mwingine huu mwaka mpya huko mashinani na gari la kifahari. Mahala sikutarajia kuona mtanzania yeyote
 
Ulifikia wapi...tupe uzoefu wako wa hizo siku mbili..hata ivyo mwaka huu ntazuru Kenya Ni kipindi gani kizuri cha kufika uko,sipendi baridi kali..natazamia kufika NBO

Sent using Jamii Forums mobile app
January, February , November and December,hata mimi nilikua dar,kitu ambacho nimefurahia tz ni nauli ipo chini Sana ,tz400 , lakini makaazi yapo chini Sana ,ukitoa upanga , kijitonyama, mikocheni hata mbezi inahitaji facelift ya nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa...karibu tena Bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekua dar Kwa siku kumi nikifanya sampling, CBD kidogo mnajaribu ,jamii forum ndio imefanya nikaenda tz ,mwezi wa tatu nitakuja Niko na washikaji zangu wengi huko lazima nije,,,,ebu niulize mbona kuna idara ya uhamiaji ya Zanzibar pale Azam see link , Tanzania bara na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar ni Tanzania visiwani,sijafika Zanzibar siwezi kujibu swali ya pili!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…