joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Waswahili husema, "kunya anakunya kuku, lakini akinya Bata wanasema kaharisha".Kenya huwa hatuna huo ujinga wenu wa kuzuia uwekezaji kisa chuki, lazima kuna kitu huyo mhindi hajakidhi, tunawahitaji sana wawekezaji.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app