DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Asingeweza kiwakumbatia wapinzni kwa sababu Wenyeviti wa vyama vikuu vya upinzani kwa maana ya Chadema na ACT walikua wamenunuliwa na mafisadi wakubwa ili wafanye vurugu kama ilivo Kenya leo. Zito angetumia udini na Mbowe Ukabila . Lisu hakujua kinachoendelea kawa anasimamia maamuzi ya Mwenyekiti atokeo yake akapigwa risasi kwa sababu ni kiongozi asiyekubali kurudi nyuma.

Kwenye siasa za upinzani Lisu ni tishio hata kwa wapinzani wenzake achilia mbali CCM.

Msigwa ni chawa wa Lisu ndani ya CCM. Lisu akishinda uchaguzi Msigwa atarudi Chadema.

Mafisadi walicheza mchezo wa sayansi kubwa sana ya siasa.
Tanzania ni nchi yenye mabilionea wengi sana wanaoficha pesa majumbani kama somalia kutokana na kutopenda mifumo ya riba kwenye mabanki. Wengi hawalipi kodi.

Mabilionea Waliopo wangelipa Kodi inavyotakiwa hakikauchumi wa nchi ungekua kwa Kasi sana.
 
Aisee
 
Duuuh
 
Mkuu mbona unaandika kwa jazba?
 
Usalama wa taifa nyma kidogo walao tinaweza kusema ilikua ni idara makini tofauti na sasa, labda kwa vile jana ni nzuri kuliko leo.
Kutoka diwani , madestus, Othuman na Apson walao tinaweza kusema tulikua na idara makini kidogo .
TISS sasa hivi imejaa vilaza kutoka uvccm wanasumbua tu wakishalewa hawakawii kutoa vibastola vyao kutisha watu. Zamani hao watu ilikuwa ngumu kweli kuwafahamu lakini hawa wa sasa wanajitambulisha ovyo kwa mbwembwe zao za kishamba
 
Acha kutuzuga P mbona wadau wanadai wewe ni nyoka wa madoa madoa
Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.

Mtu wa huko anawezaje kuuliza hivi kuhusu ofisi yake? TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kitu ambacho ni kweli, ukizaliwa familia za hivyo, unakuwa na ile born security conscious, hii mimi ninayo, na nimeisha jitolea mara kibao kuwasaidia hao jamaa zetu na mfano mzuri ni kumhusu JPM. Kabla ya kuwa rais ile 2014, nilisikia kitu nikakiweka humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hayo majamaa did nothing!, jamaa akawa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…