DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa kweli walichomfanyia JPM CCM ni mashetani.Alipigwa timing ya hatari na alijua wapinzani ndio tatizo kumbe sio kweli,na angekumbatia wapinzani hadi leo angekuwepo maana ndio watu sahihi,CCM kina muda toka kimeacha kuwa chama,limebaki ni genge la wahuni na wahalifu.
Asingeweza kiwakumbatia wapinzni kwa sababu Wenyeviti wa vyama vikuu vya upinzani kwa maana ya Chadema na ACT walikua wamenunuliwa na mafisadi wakubwa ili wafanye vurugu kama ilivo Kenya leo. Zito angetumia udini na Mbowe Ukabila . Lisu hakujua kinachoendelea kawa anasimamia maamuzi ya Mwenyekiti atokeo yake akapigwa risasi kwa sababu ni kiongozi asiyekubali kurudi nyuma.

Kwenye siasa za upinzani Lisu ni tishio hata kwa wapinzani wenzake achilia mbali CCM.

Msigwa ni chawa wa Lisu ndani ya CCM. Lisu akishinda uchaguzi Msigwa atarudi Chadema.

Mafisadi walicheza mchezo wa sayansi kubwa sana ya siasa.
Tanzania ni nchi yenye mabilionea wengi sana wanaoficha pesa majumbani kama somalia kutokana na kutopenda mifumo ya riba kwenye mabanki. Wengi hawalipi kodi.

Mabilionea Waliopo wangelipa Kodi inavyotakiwa hakikauchumi wa nchi ungekua kwa Kasi sana.
 
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Aisee
 
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Duuuh
 
Mkurugenzi Usalama anaenda kuondolewa kwa kushindwa kuzuia ufisadi ?

Hujui chochote.

Toka uhuru, na zaidi kuanzia Mwinyi administration, Usalama wa Taifa unaongoza nchi hii kwa ubadhilifu, ujambazi wa mali ya umma, ule wa halali ya kupeana ( employmemt perks) na ujambazi wa wazi wazi (blatant embezzlement). Haya yote hufanyika nchini ya pua ya Ikulu, ambayo ina fungu lisilohasibiwa, black budget.

Wakurugenzi Wakuu wa Usalama, na wale wa idara ndani ya TISS tunawajua binafsi, tumeishi nao, ni baba zetu, ni baba wakwe, ni wajomba, ni family friends. Ujangili wao upo machoni petu.

Kwa wewe kusema Mkurugenzi anaenda kuondolewa kwa sababu ya kushindwa kusimamia kukithiri kwa wizi sehemu mbali mbali serikalini inaonyesha hujui chochote cha TISS wa nchi hii, wala ofisi kuu yao, IKULU.

Mwizi anawezaje kumfuta kazi mwizi kwa kushindwa kupambana na wizi ?
Mkuu mbona unaandika kwa jazba?
 
Usalama wa taifa nyma kidogo walao tinaweza kusema ilikua ni idara makini tofauti na sasa, labda kwa vile jana ni nzuri kuliko leo.
Kutoka diwani , madestus, Othuman na Apson walao tinaweza kusema tulikua na idara makini kidogo .
TISS sasa hivi imejaa vilaza kutoka uvccm wanasumbua tu wakishalewa hawakawii kutoa vibastola vyao kutisha watu. Zamani hao watu ilikuwa ngumu kweli kuwafahamu lakini hawa wa sasa wanajitambulisha ovyo kwa mbwembwe zao za kishamba
 
Acha kutuzuga P mbona wadau wanadai wewe ni nyoka wa madoa madoa
Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.

Mtu wa huko anawezaje kuuliza hivi kuhusu ofisi yake? TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kitu ambacho ni kweli, ukizaliwa familia za hivyo, unakuwa na ile born security conscious, hii mimi ninayo, na nimeisha jitolea mara kibao kuwasaidia hao jamaa zetu na mfano mzuri ni kumhusu JPM. Kabla ya kuwa rais ile 2014, nilisikia kitu nikakiweka humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hayo majamaa did nothing!, jamaa akawa!.
P
 
Back
Top Bottom