Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingeweza kiwakumbatia wapinzni kwa sababu Wenyeviti wa vyama vikuu vya upinzani kwa maana ya Chadema na ACT walikua wamenunuliwa na mafisadi wakubwa ili wafanye vurugu kama ilivo Kenya leo. Zito angetumia udini na Mbowe Ukabila . Lisu hakujua kinachoendelea kawa anasimamia maamuzi ya Mwenyekiti atokeo yake akapigwa risasi kwa sababu ni kiongozi asiyekubali kurudi nyuma.Kwa kweli walichomfanyia JPM CCM ni mashetani.Alipigwa timing ya hatari na alijua wapinzani ndio tatizo kumbe sio kweli,na angekumbatia wapinzani hadi leo angekuwepo maana ndio watu sahihi,CCM kina muda toka kimeacha kuwa chama,limebaki ni genge la wahuni na wahalifu.
Na wasiwasi huyu jamaa ni moja ya wale jamaa waliotoka south wakahamia huko kusini juu.britanicca is a whistlebrower
Mtu wa jumba lile hawezi kujiunga jf with verified name halafu akapandisha uzi kama huu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Tuko pamoja mkuu jumba jeupe mithiri ya Meli
AiseeDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Kama CDM tu ilivyo na matundu mkuu.Nchi ina matundu sana!
DuuuhDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Namanisha si jambo la kushangaza, sio mara ya kwanzakwahiyo kwa vile Magu alifanya hivyo na huyu anatakiwa afanye hivyo.
Mkuu mbona unaandika kwa jazba?Mkurugenzi Usalama anaenda kuondolewa kwa kushindwa kuzuia ufisadi ?
Hujui chochote.
Toka uhuru, na zaidi kuanzia Mwinyi administration, Usalama wa Taifa unaongoza nchi hii kwa ubadhilifu, ujambazi wa mali ya umma, ule wa halali ya kupeana ( employmemt perks) na ujambazi wa wazi wazi (blatant embezzlement). Haya yote hufanyika nchini ya pua ya Ikulu, ambayo ina fungu lisilohasibiwa, black budget.
Wakurugenzi Wakuu wa Usalama, na wale wa idara ndani ya TISS tunawajua binafsi, tumeishi nao, ni baba zetu, ni baba wakwe, ni wajomba, ni family friends. Ujangili wao upo machoni petu.
Kwa wewe kusema Mkurugenzi anaenda kuondolewa kwa sababu ya kushindwa kusimamia kukithiri kwa wizi sehemu mbali mbali serikalini inaonyesha hujui chochote cha TISS wa nchi hii, wala ofisi kuu yao, IKULU.
Mwizi anawezaje kumfuta kazi mwizi kwa kushindwa kupambana na wizi ?
Acha kutuzuga P mbona wadau wanadai wewe ni nyoka wa madoa madoaMtu wa jumba lile hawezi kujiunga jf with verified name halafu akapandisha uzi kama huu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
Lucas huyu muimba mapambio nafasi inayomfaa awe mkurugenzi wa TOT awatungie mashairi ya kumsifia chura kiziwiHii nafas ilimfaa Lukas
Una mchukulia poa?Lucas huyu muimba mapambio nafasi inayomfaa awe mkurugenzi wa TOT awatungie mashairi ya kumsifia chura kiziwi
TISS sasa hivi imejaa vilaza kutoka uvccm wanasumbua tu wakishalewa hawakawii kutoa vibastola vyao kutisha watu. Zamani hao watu ilikuwa ngumu kweli kuwafahamu lakini hawa wa sasa wanajitambulisha ovyo kwa mbwembwe zao za kishambaUsalama wa taifa nyma kidogo walao tinaweza kusema ilikua ni idara makini tofauti na sasa, labda kwa vile jana ni nzuri kuliko leo.
Kutoka diwani , madestus, Othuman na Apson walao tinaweza kusema tulikua na idara makini kidogo .
Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.Acha kutuzuga P mbona wadau wanadai wewe ni nyoka wa madoa madoa
Hii ndiyo tunaita za ndaaaaani kabisa.Huu haukuwa ubashiri, hii ni ya moto, ameipakua toka jikoni!.
JF kuna watu wanatisha!, sio watu wa mchezo mchezo!.
P