Habari nyeti za hii nchi zinavuja Sana.....Tarehe 20june ulitoa taarifa iliyothibitishwa tarehe11/07/2024, siku 21 kamili asee .mkuu umetisha sana! Na narudia kusema JF Ndo chanzo cha habari tz umekataa au umekubali
Sasa swal limebaki 1 tu who s the next presidor?
Nadhan majib mkuu unayoooo yapenyezeee
AbsolutelyHabari nyeti za hii nchi zinavuja Sana.....
Something is not right..
Hahaha eti nyoka πAcha kutuzuga P mbona wadau wanadai wewe ni nyoka wa madoa madoa
Si kweli, nasikia Steve Nyerere yuko anaandaliwa kuwa Mkurugenzi ajaye kwa uhodari wake wa kurekodi mazungumzo nyeti na washikaji zake haswa mijimama ya mjini kama Mama Wema Sepetu na baadhi ya wabunge kina Mama kisha anakwenda kuuza siri zao mitaani kwa washikaji.Ajaye atatokea Unguja
Utakua mgeni jfHabari nyeti za hii nchi zinavuja Sana.....
Something is not right..
Huyu GENTAMYCINE yuko vizuri kwenye kuona mengi.................acha wengine tuendelee kumuwinda yule mganga wa bagamoyoSema hata GENTAMYCINE 2013 alitabiri, 2014 Pascal Mayalla akaja na utabiri wake wa jicho la tatu kiujumla hawa wenzetu wana details nyingi ila wao Kwa wao wanachukuliana powa
Empty headed!!!!Kwamba ni balozi yule?
Kwahiyo wewe sio mtoto wa kayumba!!? ππNjema mkuu, sisi wadogo zako tunaendelea kuwakumbusha watoto wa kayumba wakutambue π
Wengine wamo humo humo lakini hawapendi yanayoendelea patamu sasa Mungu ni mwema!!Habari nyeti za hii nchi zinavuja Sana.....
Something is not right..
Haha umenifanya nichekeMkuu naomba kazi
Mkuu mbona unaandika kwa jazba?
Sasa kumbe nimeelewa mzee una uchungu kama sisi tuNimeandika kwa uchungu kutokana na jinsi Watanzania wasivyojua mambo ya nchi yao wenyewe. Wanadhani eti watu wa usalama huwa wana mandate ya kuzuia wiz au kutapanya mali ya umma au kwamba bosi wao Ikulu huwa hapendi wizi au mtapanyo, waste and abuse.
Kiongozi anaechukua kodi zenu anaenda kuzichoma kwa kuwapandisha kina Steve Nyerere first class kuzunguka dunia anajali ubadhilifu wa mali ya umma ?????
Kuna watu hua wanamchukulia jamaa kama great thinker, sijui hua wanaangalia nnInaonekana mwamba ni "very exceptional".
Toka aingie pale alipo amekuwa "very dilute" kuliko wote waliomtangulia, lakini unashangaa yupo tu anadunda ofisini!
Kwa kweli tulipigwa na kitu kizito sana 17032021.
Mkuu unanicheka navyotembeza bahasha ya khaki kweli ?Haha umenifanya nicheke
Matundu Gani chief. Wenzetu wanafanya mpaka usahili sisi tumebaki na siri.Nchi ina matundu sana!