DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tarehe 20june ulitoa taarifa iliyothibitishwa tarehe11/07/2024, siku 21 kamili asee .mkuu umetisha sana! Na narudia kusema JF Ndo chanzo cha habari tz umekataa au umekubali


Sasa swal limebaki 1 tu who s the next presidor?


Nadhan majib mkuu unayoooo yapenyezeee
Habari nyeti za hii nchi zinavuja Sana.....

Something is not right..
 
Ajaye atatokea Unguja
Si kweli, nasikia Steve Nyerere yuko anaandaliwa kuwa Mkurugenzi ajaye kwa uhodari wake wa kurekodi mazungumzo nyeti na washikaji zake haswa mijimama ya mjini kama Mama Wema Sepetu na baadhi ya wabunge kina Mama kisha anakwenda kuuza siri zao mitaani kwa washikaji.
 
Mkuu mbona unaandika kwa jazba?

Inaumiza kuona Watanzania wasivyojua mambo ya nchi hii. Wanadhani Usalama wa Taifa wana mandate ya kuzuia wizi au kutapanya mali ya umma au kwamba bosi wao Ikulu huwa hapendi wizi au kutapanya, waste and abuse.

Kiongozi anakusanya kodi zenu kuzichoma kwa kuwapandisha kina Steve Nyerere kwenye first class flights kuzunguka dunia, anajali ubadhilifu wa mali ya umma ?????
 
Nimeandika kwa uchungu kutokana na jinsi Watanzania wasivyojua mambo ya nchi yao wenyewe. Wanadhani eti watu wa usalama huwa wana mandate ya kuzuia wiz au kutapanya mali ya umma au kwamba bosi wao Ikulu huwa hapendi wizi au mtapanyo, waste and abuse.

Kiongozi anaechukua kodi zenu anaenda kuzichoma kwa kuwapandisha kina Steve Nyerere first class kuzunguka dunia anajali ubadhilifu wa mali ya umma ?????
Sasa kumbe nimeelewa mzee una uchungu kama sisi tu
 
Back
Top Bottom