Mkuu wewe uko jikoni kwa ndani kabisa.Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Nimeamini.Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Mkuu,Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Mzee wa maono naona umechemka. Nilikuambia huwa unajifanya una unabashiri wa ndani, lakini kiukweli huna bali huna unabashiri kila jambo ili likitokea useme ulisema. Haya huyu ana za ndani huko ww huna.Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Unasemaje kuhusu uteuzi huu na koment yako hiiDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Huyu Mzee aka ZILIPENDWA anazeeka vibayaUnasemaje kuhusu uteuzi huu na koment yako hii
Ww ndo ulivujisha unadhani hatukujui 🤣🤣🤣Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Kafukuzwa kisa alikuwa na mpango fulan mbovu yeye na February mauzi dhid ya Taasisi ya Nyumba nyeupeAmefukuzwa Amestaafu
mkuu unatishaMombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!