The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Mwanamke na siri wapi na wapi?Utawala wa Samia hauna siri, yaani unaweza kujua kesho nini Samia atafanya.
Imagine watu walisema kule twitter tena watu wa hovyo tu kwamba Kidata anaondolewa, kweli wiki 2 mbele akaondolewa.
Huyu jamaa alisema wiki 3 zilziopita kwamba Mombo anateuliwa kua mkuu TISS, leo kweli anateuliwa.
Hii nchi siri hakuna tena.
Mzee mwenzangu bado unaiogopa system? Ahhaa bwana..Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Mbona huyo February bado yupo?Kafukuzwa kisa alikuwa na mpango fulan mbovu yeye na February mauzi dhid ya Taasisi ya Nyumba nyeupe
Nani kaichafua?Ikulu imesafishwa kwani wewe unashangaa nini?
Kwanini siwa alikua anazuia mama asiwaguse mkuu?Siwa ndio alikuwa anazuwiaa ishu nzima wasitoke na kumtisha mama kwamba hawa asiwaguse
Bora tuuziwe misalabaSasa ukitaka awape Vatican ili watuuzie misalaba??
Sasa sisi misalaba ya kazi Gani Kwa mfano.
Katoa single nyingine leo.Mtoa mada sema kitu tutakusikiliza...maana wewe upo jikoni kabisa
Kuna mahala kuna bonge la tundu watu wanavujisha habari kupitia tundu hiloUtawala wa Samia hauna siri, yaani unaweza kujua kesho nini Samia atafanya.
Imagine watu walisema kule twitter tena watu wa hovyo tu kwamba Kidata anaondolewa, kweli wiki 2 mbele akaondolewa.
Huyu jamaa alisema wiki 3 zilziopita kwamba Mombo anateuliwa kua mkuu TISS, leo kweli anateuliwa.
Hii nchi siri hakuna tena.
Umetisha sana mkuuSiwa ndio alikuwa anazuwiaa ishu nzima wasitoke na kumtisha mama kwamba hawa asiwaguse
Sina kazi ni jobless Mimi mkurugenziMkuu naomba kazi
Labda Bwana ma-rope anavutiwa pumziMbona huyo February bado yupo?
Huu utabiri huu 🙌Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.