Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Yaani ww unapewa uridhi kama hisani ila sio lazima na anaweza akaandika wosia na akakutoa kwenye list ya waridhi na humfanyi kituMali za wote hizi si tumeshiriki mpaka zinaonekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ww unapewa uridhi kama hisani ila sio lazima na anaweza akaandika wosia na akakutoa kwenye list ya waridhi na humfanyi kituMali za wote hizi si tumeshiriki mpaka zinaonekana
Mimi sihitaji hata huo urithi,muhimu ametuliza fuvu na mama huku maisha yanaenda kwa amaniYaani ww unapewa uridhi kama hisani ila sio lazima na anaweza akaandika wosia na akakutoa kwenye list ya waridhi na humfanyi kitu
Sasa huoni kama yeye ndo ana control ya Mali zake na mama ako? Lakn ww huna say yoyote kwa hiyo ukimpiga kisa Mali zake itakuwa ww ndo mkosajiMimi sihitaji hata huo urithi,muhimu ametuliza fuvu na mama huku maisha yanaenda kwa amani
Hahahah atatajua mwenyewe sema sahizi age imeenda kinoma zile mbwe mbwe za ujanani haziwezi.Sasa huoni kama yeye ndo ana control ya Mali zake na mama ako? Lakn ww huna say yoyote kwa hiyo ukimpiga kisa Mali zake itakuwa ww ndo mkosaji
Au sio lakn inaonekana pamoja na kwamba alizibgua ila ana hekima mzee wako kama alirud home na kujipanga upya na hakutekekeza familia huyo ni mwanaume wa kweliHahahah atatajua mwenyewe sema sahizi age imeenda kinoma zile mbwe mbwe za ujanani haziwezi.
Hahaha asingetoHakuna benki inatoa mkopo kwa mume bila mke kusaini,mama yako angeweka injuction kisingeuzwa kitu,elewa maana ya court injuction
Ni kweli sema pepo la mchepuko lilimpitiaAu sio lakn inaonekana pamoja na kwamba alizibgua ila ana hekima mzee wako kama alirud home na kujipanga upya na hakutekekeza familia huyo ni mwanaume wa kweli
Wanafanyiaga vitu vya hovyo si wanajua kipo cha kubeba kufuta deniHivi kuna siri gani na mikopo ya benki hasa dhamana ikiwa inahusiana na ardhi,maaana wenginwanaochukua mikopo uishia kushindwa kulipa deni?
TushapoaPoleni sana wakuu
Hiyo kawaida kwa mwanaume mzee japokuwa haikubaliki ila ikitokea unatakiwa umueleweNi kweli sema pepo la mchepuko lilimpitia
KimamboNi mzee Shayo au mzee Mrossso
MchepukoHakuna benki inatoa mkopo kwa mume bila mke kusaini,mama yako angeweka injuction kisingeuzwa kitu,elewa maana ya court injuction
Hii sheria wameanza kuitilia mkazo recently,zamani walikuwa wanaburuza tu wadaiwa.Hakuna benki inatoa mkopo kwa mume bila mke kusaini,mama yako angeweka injuction kisingeuzwa kitu,elewa maana ya court injuction
Ukiwa mdogo unaona dingi ndio hero,superman na Spiderman rolled into one, ukikua ndio unajua alikuwa miyeyusho.Mzee alikuwa miyeyusho sana
Wewe K hakika😆🤣🤣🤣wanaume mna jehanamu yenu special kweli mke na watoto unawapitisha kwenye hali ngumu hivyo kisa kitobo ambacho mke anacho!!!
,😂😂😂Ukiwa mdogo unaona dingi ndio hero,superman na Spiderman rolled into one, ukikua ndio unajua alikuwa miyeyusho.