Moment: Benki ya Finca ilivotunyoosha mimi na familia yetu kisawa sawa

Msiwe wabishi, hayo mambo ya spouse concert, affidavit, yameanza miaka ya karibuni baada ya familia nyingi kupata matatizo na ikagundulika baba ndo chanzo.
Zamani hata kuuza ilikuwa ni foreclouser sio market value
Uzi wake ameandika kuwa tukio limitokea 2010 huo utaratibu ulishaanza labda angedema mwaka 2000,huko.nina uhakika na ninachokiongea
 
Inawezekana unalolisema ni kweli lakini kwetu haikuwa hivo finca walipitisha somba somba
 
Msiwe wabishi, hayo mambo ya spouse concert, affidavit, yameanza miaka ya karibuni baada ya familia nyingi kupata matatizo na ikagundulika baba ndo chanzo.
Zamani hata kuuza ilikuwa ni foreclouser sio market value
Ni spouse consent sio concert,concert ni tamasha.any way 2010 spouse consent ilishaanza
 
Miaka hiyo hiyo nilikuwa na bro wangu(sasa hivi marehemu). Alienda kukopa bila kumshirikisha mke wake, akapewa mkopo na baadae akashindwa kurejesha, walipokuja Bank mkewe akaweka pingamizi la kuuza nyumba.
 
Ni michezo tu huwa wanacheza ma loan officer mkopaji anajifanya hajaoa anajaza affidavity,likibuma mke akiweka injuction nyumba haiuzwi
 
Back
Top Bottom