Moment kama hii JK angepiga ni upepo tu yatapita! Kiongozi bora JK

Moment kama hii JK angepiga ni upepo tu yatapita! Kiongozi bora JK

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,067
JK kamanda wa siasa na uongozi wa utulivu, mwenye kifua na Moyo was kiume. Ninajifunza kwako.

Ni upepo tu, yatapita
 
JK japo ni Mzee wa fitna ila kwenye kupuuza mambo huwa namsifu.

Huwa hataki mambo magumu yampe shida.
 
JK kamanda wa siasa na uongozi wa utulivu, mwenye kifua na Moyo was kiume. Ninajifunza kwako.

Ni upepo tu, yatapita
Ila huu sii upepo wa kawaida hiki ni kimbunga Cha kumng'oa Jobo kimbunga.
 
Jk, hajawahi kuwa kiongozi bora zaidi ya kuasisi ufisadi uliovurumikia, wasiojulikana na uchuuzi wa nchi kwa wachina.
 
Akihutubia Bunge katikati ya 2008 baada ya Hotuba yake akasimama Spika Hayati Samwel Sitta akamueleza Amiri jeshi ' Mh Rais ongeza ukali kupambana na Ufisadi…'

Alimuweka Kiporo ilipofika 2010 akasema Spika hatakiwi kuwa na p.umbuuuu na Sitta akapoteza u Spika kiulainiiiiii
 
Kilichouwa Mashirika ya Umma miaka ya 1970-1980 ilikuwa ufisadi wa JK wa 2005-2015?

Unajua 1990 baraza la Mawaziri chini ya Warioba kama PM lilivunjwa kwa kashfa gani?
Jk, hajawahi kuwa kiongozi bora zaidi ya kuasisi ufisadi uliovurumikia, wasiojulikana na uchuuzi wa nchi kwa wachina.
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Unajua wasiojulikana walipokuwa waking'oa watu meno na kucha bila ganzi? Unajua wizi wa escrow, epa, richmond, na mikataba kibao ya kihuni? Unajua namna raslimali za taifa zilisombwa na kusafirishwa hadi twiga kupandishwa ndege? Unajua chanzo cha kushuka kwa elimu Tanzania? Unajua kasi ya ongezeko la biashra ya madawa ya kulevya Tanzania? Unajua mfumuko wa bei kuwahi kutokea Tz? Unajua matumizi mabaya ya fedha za umma, kutalii taifa hadi taifa kwa ufisadi na misafara ya watu mia wasio na tija? Unajua siku zile mtu akivaa nguo ya kijani anazomewa na hata wengine kumwagiwa michanga mitaani? Unajua raisi gani TZ aliyekuwa na hofu ya kufiwa na chama cha siasa kwa sababu ya kuchukiwa na wananchi kwa ajili yauongozi mbovu? n.k n.k?
Binafsi Sina deni kwake,mbali na Yale mapungufu ya kibinaadamu .
 
Jk, hajawahi kuwa kiongozi bora zaidi ya kuasisi ufisadi uliovurumikia, wasiojulikana na uchuuzi wa nchi kwa wachina.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kiongozi bora ni BABA YAKO basi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kiongozi bora ni BABA YAKO basi.
Hapa ndipo mwisho wa akili za uzao wa mulugo, waziri wa elimu wa jk ambaye yeye mwenyewe alikuwa failure!. Sitegemei lolote zaidi ya hapa kutoka kwako.
 
Hapa ndipo mwisho wa akili za uzao wa mulugo, waziri wa elimu wa jk ambaye yeye mwenyewe alikuwa failure!. Sitegemei lolote zaidi ya hapa kutoka kwako.
Yes maana kwako wewe hakuna kiongozi bora mzee. Ndio maana nimekuambia kiongozi BORA ni BABA YAKO tu.
Una lawama za ajabu sana, nchi ilipata barabara nyingi, vyuo vingi, shule nyingi, ajira nyingi, viwanja vya ndege, upanuzi wa bandari, mikopo kwa wanafunzi, mishahara juu. Bila huyo JK leo hii usingekuwa hata BODABODA ungekuwa kwenu unalima bamia tu.
Umekujaa UDINI, CHUKI, HUSDA na WIVU kwa walikuzidi. Kemea hiyo roho ya shetani, jipige kifuani huku ujiambia wewe lofa.
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!
1631782898_1631782897-picsay.jpg
 
Ufisadi ni mapungufu ya kibinadamu,au ulikuwa chekechea kipindi hicho
KIKWETE ALIRUHUSU KUKOSOLEWA NDIO MAANA UKONA HIVYO. WE UNADHANI MAGUFULI ANGERUHUSU PANGEKALIKA HAPA??
 
Binafsi Sina deni kwake,mbali na Yale mapungufu ya kibinaadamu .
Ana deni kubwaa mno kutupitisha mpaka hapa. Zaidi alituzibia katiba mpya wazi kabisa. Huyu ana deni kubwaa kuliko yoyote. Ile katiba ya Warioba.
 
JK kamanda wa siasa na uongozi wa utulivu, mwenye kifua na Moyo was kiume. Ninajifunza kwako.

Ni upepo tu, yatapita
Ni upepo tu, yatapita, "la hasha". Mmoja kajirudi na kuomba msamaha, lakini upande wa pili ngoma ndio inogile. Nani ataumia?
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Unajua wasiojulikana walipokuwa waking'oa watu meno na kucha bila ganzi? Unajua wizi wa escrow, epa, richmond, na mikataba kibao ya kihuni? Unajua namna raslimali za taifa zilisombwa na kusafirishwa hadi twiga kupandishwa ndege? Unajua chanzo cha kushuka kwa elimu Tanzania? Unajua kasi ya ongezeko la biashra ya madawa ya kulevya Tanzania? Unajua mfumuko wa bei kuwahi kutokea Tz? Unajua matumizi mabaya ya fedha za umma, kutalii taifa hadi taifa kwa ufisadi na misafara ya watu mia wasio na tija? Unajua siku zile mtu akivaa nguo ya kijani anazomewa na hata wengine kumwagiwa michanga mitaani? Unajua raisi gani TZ aliyekuwa na hofu ya kufiwa na chama cha siasa kwa sababu ya kuchukiwa na wananchi kwa ajili yauongozi mbovu? n.k n.k?
Mliohadithiwa na kuingia mjini juzi ndiyo maneno yenu haya. JK ana alama nyingi sana nchi hii ila nyie wanya porini hamuwezi kujua. Hizo towers zote unaoziona Dar zimejenga enzi ya JK. Jiwe ndiye Rais pekee ambaye hakuanzisha Chuo Kikuu hata kimoja. Tafuta muda ufike MOI,JKCI, Mloganzila na Benjamin Mkapa Hospital. Au fungua website ya Tanroads uangalie barabara za nchi yako zimejengwa na nani.

Usiongopewe. JK ndiye baba wa miundombinu, hao wengine kelele tu.
 
Back
Top Bottom