mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
NdomboloJk, hajawahi kuwa kiongozi bora zaidi ya kuasisi ufisadi uliovurumikia, wasiojulikana na uchuuzi wa nchi kwa wachina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdomboloJk, hajawahi kuwa kiongozi bora zaidi ya kuasisi ufisadi uliovurumikia, wasiojulikana na uchuuzi wa nchi kwa wachina.
Nilijua tu utaangukia kwenye huu mtego,wapi imeandikwa kwamba Magufuli ni benchmark ya kiongozi boraKIKWETE AKIRUHUSU KUKOSOLEWA NDIO MAANA UKONA HIVYO. WE UNADHANI MAGUFULI ANGERUHUSU PANGEKALIKA HAPA??
Comment isiyo na chembe ya heshima. Siyo sahihi na siyo Uhuru wa maoni huu.Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.
Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!
View attachment 2069778
Unaponikemea uliwahi kukemea huu ulaghai wanaofanyiwa Watanzania?Comment isiyo na chembe ya heshima. Siyo sahihi na siyo Uhuru wa maoni huu.
Pumzika kiongozi, usihangaike na 'mabottoms' hao......hawajui walitendaloComment isiyo na chembe ya heshima. Siyo sahihi na siyo Uhuru wa maoni huu.