Moment kama hii JK angepiga ni upepo tu yatapita! Kiongozi bora JK

KIKWETE AKIRUHUSU KUKOSOLEWA NDIO MAANA UKONA HIVYO. WE UNADHANI MAGUFULI ANGERUHUSU PANGEKALIKA HAPA??
Nilijua tu utaangukia kwenye huu mtego,wapi imeandikwa kwamba Magufuli ni benchmark ya kiongozi bora
 
Comment isiyo na chembe ya heshima. Siyo sahihi na siyo Uhuru wa maoni huu.
 
Comment isiyo na chembe ya heshima. Siyo sahihi na siyo Uhuru wa maoni huu.
Unaponikemea uliwahi kukemea huu ulaghai wanaofanyiwa Watanzania?

Wakati wa kampeni๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Your browser is not able to display this video.
Baada ya kuingia Ikulu๐Ÿ‘‡๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ